Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

️ Eduardo Camavinga alikua na mchango mkubwa Kwa Real Madrid walipokia wakitwaa ubingwa wac 14 wa Champions League:

• Real Madrid 0-1 PSG
Camavinga aliingia dakika ya 57:
️Benzema
️Benzema
️Benzema

• Real Madrid 0-2 Chelsea
Camavinga ON at 73rd min:
️Rodrygo
️Benzema

• Real Madrid 0-1 City
Camavinga ON at 75th min:
️Rodrygo
️Rodrygo
️Benzema
 
Real Madrid wameomba Kwa Uefa mechi ya Kesho Santiago bernabeu uwanja huo ufunikwe Kwa juu ili kelele za mashabiki zisikike vizuri,

Nami nawashauri Kesho kabla ya kufunika,

Wafunge milango yote Kwanza na walinzi wahakikishe The citizens wote wamo ndani.
Haitapendeza yatokee mambo ya Fernabache.

Nisizunguke Sana nitawachosha,

Ni hiviii "Kisago cha Kesho Kipara lazima apeleke salamu Kwa swahiba wake Arteta".
 
Tunawapelekea moto hivo hivo hata kama mkifunga mirango na madirisha kudadekiii
 
Hii game yetu na City,imani kubwa sana niko nayo hawa tunawapiga nje ndani..sisi huwa hatukubali kufungwa mara mbili lakini pia tuna vijana sasa wenye kiu kubwa ya mafanikio na zaidi city dawa yao imepatikana na uwezo wako nao umeshuka.
Mimi presha ipo juu tu, acha tusubiri tu mpka hapo baadae.,
Sijaangalia game za City, so sijui wana nguvu sehemu gani na udhaifu sehemu gani kulinganisha na kwetu.

Ila Tumaini ni moja tu Ushindi
#HalaMadrid
 
aliekwambia ni nani? Ushindi wa City na KDB / Halland /Bernando. Ukiwakamata hao watatu umemaliza kazi
wew hungalii game za city Rodri ndio muhimili wa city Last season Gundogan na Rodri ndio walikua muhimili wa timu msimu huu pengo la Gundogan limeonekana sana nazani ndio chanzo cha City kushuka ki perfomance KDB,Halland,Bernado ni wachezaji wamuhimu wa city ila sio muhili wa Timu Gundogan na Rodri ndio best player wa City last season
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…