Vijana wa kule Facebook, eti Girona kapoteza game mmoja tu tangu La Liga ianze, nikawaambia leo anapoteza ya pili. Sijui kwanini hii timu watu wanaichukulia poa! Acha Rudiger na Militao warudi ndio tutaheshimiana huko UCL

Form tuliyo nayo ni kubwa.
Sprit waliyo nayo wachezaji ni kubwa sana.
Camavinga, Kroos na Valverde wanachakaza dimba kupita kiasi.
Vini, Jude na Rodryigo wanauwasha moto.
Carvajal na Tchoumen ni wachezaji wazuri.
Ni vizuri tukampata Davies kama 1st choice mbele ya Mendy.
Lunini kaziba pengo vizuri.
Vasquez ni mchezaji mwenye bahati sana na ushindi, tunamhitaji aendelee kuwepo kwa nyakati kama hizi tunapohangaika na rotation ili kuziba mapengo ya majeruhi yaliyotuandama.
Hello Madridistas., Champions league is back., na sie kama kawaida tutakiwasha leo R16 dhidi ya RB Leipzig.
Ancelloti huwa hana mambo mengi mapema tu ameshatoa kikosi chake