Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,763
- 6,523
Ni kweli kabisa, mwenyewe sikumbuki mara ya mwisho mchezaji kufunga hat-trick kwenye el classico ni lini., nimependa speed ya vijana, haswa kwenye transition.,Vin Jr hadi dakika hii ya 37 kapiga hat-trick....sikumbuki mara ya mwisho miaka ya karibuni hapa kama 30 iliyopita kama kuna mchezaji aliyewahi kufunga hat-trick kwenye el classico zaidi ya huyu leo.
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Sanaaa...yaan leo wamecheza vyema kabisa..Ni kweli kabisa, mwenyewe sikumbuki mara ya mwisho mchezaji kufunga hat-trick kwenye el classico ni lini., nimependa speed ya vijana, haswa kwenye transition.,
Nilitamani sana tuwapige jamaa mkono, siku sio mbaya tutawapiga tu
Msimu uliopita Karim Benzrma alipiga hat trick dhidi ya Barcelona pia tulivyoshinda 4-0.Vin Jr hadi dakika hii ya 37 kapiga hat-trick....sikumbuki mara ya mwisho miaka ya karibuni hapa kama 30 iliyopita kama kuna mchezaji aliyewahi kufunga hat-trick kwenye el classico zaidi ya huyu leo.
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Shukran kwa masahihisho, mwenyewe nilisahau kama Mwaka jana tuliwapiga goli 4, hawa jamaa siku tukiwapiga goli 5+ ndio nitaridhika.,Msimu uliopita Karim Benzrma alipiga hat trick dhidi ya Barcelona pia tulivyoshinda 4-0.