Kijana amekuja kuona na kujua mazingira atakayo-anayafanyia kazi kuanzia msimu mpya Mwakani.
Nimtakie tu kila la heri, nikiamini hatotuangusha.
#Halamadrid
Tuliwasaka Mallorca kwa muda mrefu sana kiukweli, wana golikipa mzuri pia,
Ninavyoona ni kila team ishinde mechi zake, hao Girona ni wa moto sio mchezo
Game moja ya kibabe sana, humour ndani sio ya kupima, vijana wameimarika sana kiukweli., nimependa spirit yao.,
Bila kumsahau Camavinga, yupo anakiga beki aa kushoto, amebadilisha uchezaji wetu sana.
Acha tusubiri extra time tuone ni team gani itaingia final