ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,286
- 31,682
Fanya kuondoa magoli aliyofunga akiwa na RMA msimu huu uone kama hana mchangojamaa ni another overrated pice of shit, Media za kiengereza zinatumia nguvu nyingi kuaminsha kuwa anaibeba Real Madrid kitu ambacho hakina uhalisia. Licha ya kuwa simkubali Vini lakini huyu jamaa hawezi kumzidi vini wala Rodrygo kwa uwezo.
Jamaa anajua mpira , anafunga na kuassist ,we unafikiri Arteta ,Pep Guardiola nk ,high profiled coaches kumtaka mtu kama yule unafikiri ni mchezo au sio ? , we huoni mchango wake msimu huu kwenye kufunga na kuassist ? , bila contribution ya Jude , real Madrid msimu huu kwenye ligi wangekuwa wapi ?jamaa ni another overrated pice of shit, Media za kiengereza zinatumia nguvu nyingi kuaminsha kuwa anaibeba Real Madrid kitu ambacho hakina uhalisia. Licha ya kuwa simkubali Vini lakini huyu jamaa hawezi kumzidi vini wala Rodrygo kwa uwezo.
Asipo kuelewa hapa basi atakua na shidaJamaa anajua mpira , anafunga na kuassist ,we unafikiri Arteta ,Pep Guardiola nk ,high profiled coaches kumtaka mtu kama yule unafikiri ni mchezo au sio ? , we huoni mchango wake msimu huu kwenye kufunga na kuassist ? , bila contribution ya Jude , real Madrid msimu huu kwenye ligi wangekuwa wapi ?
Au ndio ninyi mnaangalia mpira kwenye Livescore Tu , hata kwenye Livescore ungeona assists and goals contribution zake
Ni Kenge gani Bernabeu mwenye hata robo ya contribution ya Jude Bellingham msimu huu ?, na hata msimu haujafika nusu
Angalia statistics zinasema vipi ,sio kukimbilia tu anapewa hype ,hype ipi ?
We huwa unaangalia mpira kweli wewe ?
Jamaa anajua mpira , anafunga na kuassist ,we unafikiri Arteta ,Pep Guardiola nk ,high profiled coaches kumtaka mtu kama yule unafikiri ni mchezo au sio ? , we huoni mchango wake msimu huu kwenye kufunga na kuassist ? , bila contribution ya Jude , real Madrid msimu huu kwenye ligi wangekuwa wapi ?
Au ndio ninyi mnaangalia mpira kwenye Livescore Tu , hata kwenye Livescore ungeona assists and goals contribution zake
Ni Kenge gani Bernabeu mwenye hata robo ya contribution ya Jude Bellingham msimu huu ?, na hata msimu haujafika nusu
Angalia statistics zinasema vipi ,sio kukimbilia tu anapewa hype ,hype ipi ?
We huwa unaangalia mpira kweli wewe ?
Fanya kuondoa magoli aliyofunga akiwa na RMA msimu huu uone kama hana mchango
bila ya hayo magoli huwezi kupata mchango mwengine wowote.
Au ndio ninyi mnaangalia mpira kwenye Livescore Tu , hata kwenye Livescore ungeona assists and goals contribution zake
Ni Kenge gani Bernabeu mwenye hata robo ya contribution ya Jude Bellingham msimu huu ?, na hata msimu haujafika nusu
Mchango gani mwingine tena bro akadake golini au?
Hao pimbi zako Ridrygo na Carvahal wana goli ngapi na assist ngapi mpaka sasa both ligi na UEFA ?hivi wewe unatizama hizo mechi kweli? umekua ukangalia performance za Carvajal, Kroos, Tchouameni? Umemuona Rodrygo kwa mechi za karibuni?auumekua ukiziona Tapin tu za huyo jamaa yako?
Hao pimbi zako Ridrygo na Carvahal wana goli ngapi na assist ngapi mpaka sasa both ligi na UEFA ?
Acha utoto we dogo
Weka statistics hapa halafu tulinganishe na assists na goals za Bellingham
Unasema tapins
Hao mastrikers wenu mbona hata goals hawana na wanazitafuta kwa tochi ?
Unaongelea contribution , kuna contribution gani unayotaka tofauti na goals na assists ,
Acha kufuatilia mpira kwa kufuatilia ubishi wa vijiwe kahawa ,uwe unaangalia mpira na kujua statistics .
Pumba tupu au sio ? , na kafunga tena huyo unayesema kapewa hypePumba tupu.
Pumba tupu au sio ? , na kafunga tena huyo unayesema kapewa hypePumba tupu.
Pumba tupu au sio ? , na kafunga tena leo huyo unayesema kapewa hypePumba tupu.
Pumba tupu au sio ? , na kafunga tena leo huyo unayesema kapewa hype
Kunywa sumu ufe kabisa au jinyonge
Mechi 14 na magoli 12
Bellingham on fire ,vamos
Number zinaongea zaidi kuliko manenohilo suala ungewauliza hao waliosema kuwa ana mchango mkubwa nje ya magoli aliyofunga.
Number zinaongea zaidi kuliko manenoView attachment 2839416View attachment 2839418