ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,286
- 31,682
Na ndugu yake alaba ila Mim Toni namkubali sanaLeo uchochoro wetu Nacho umeanza na umekuwa captain.
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
ila staili yake yakuvusha mpira umbali mrefu bila kupoteza Ni Noma sanaNa ndugu yake alaba ila Mim Toni namkubali sana
ila alaba na Nacho hawa madogo mda si mrefu wanachomoaLeo uchochoro wetu Nacho umeanza na umekuwa captain.
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Yaani list ni ndefu sana aisee, sijui itakuwaje, acha tuone Carlo atafanyaje, ila kazi ipo.,View attachment 2818148🚨⛔️ Vinicius will be out until February, Camavinga will be out until January and more…
⚪️🤕 Real Madrid’s current injury list updated.
🔴 Thibaut Courtois
🔴 Éder Militão
🔴 Aurélien Tchouaméni
🔴 Dani Ceballos
🔴 Kepa
🔴 Arda Güler
🔴 Eduardo Camavinga
🔴 Vinicius Jr
Hapana Mkuu, bado team inajengwa mdogo mdogo, haina hata miaka mitano na imeshaingia makundi club bingwa, ni kwamba Barcelona wana team nzuri sana, kumbuka wametawala hilo soka la Wanawake kwa muda mrefu, kwasababu hapakuwepo na team kubwa ya kuwapa upinzani haswa Spain, so ilikuwa ni rahisi kuwasajili wachezaji wenye vipaji kwa kuwa hawakuwa na sehemu ya kukimbilia, ila kwasasa itakuwa tofauti kwa sababu Real Madrid ipo, na tumeanza mdogo mdogo, tumemchukua Linda ndio kwanza ana miaka 18, Caroline Weir tunae japokuwa ni majeruhi.,Hii timu yetu ya wanawake ifutwe tu...timu haijui thamani yakuvaa jezi yetu.
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Jana nlikua na angalia hio mechi tulivyo pigwa goli la tatu nika acha ilikua aibu ila Linda Caicedo ana kitu yule mtotoHapana Mkuu, bado team inajengwa mdogo mdogo, haina hata miaka mitano na imeshaingia makundi club bingwa, ni kwamba Barcelona wana team nzuri sana, kumbuka wametawala hilo soka la Wanawake kwa muda mrefu, kwasababu hapakuwepo na team kubwa ya kuwapa upinzani haswa Spain, so ilikuwa ni rahisi kuwasajili wachezaji wenye vipaji kwa kuwa hawakuwa na sehemu ya kukimbilia, ila kwasasa itakuwa tofauti kwa sababu Real Madrid ipo, na tumeanza mdogo mdogo, tumemchukua Linda ndio kwanza ana miaka 18, Caroline Weir tunae japokuwa ni majeruhi.,
Ninaamini team itaendelea kuimarika kadri muda unavyoenda, sio rahisi kuwafikia Barcelona kwa muda mfupi ila kwa kadri team inavyoendelea kuundwa tutawafikia tu.
Uliangalia kupitia channel gani man? Niliitafuta bila mafanikio,Jana nlikua na angalia hio mechi tulivyo pigwa goli la tatu nika acha ilikua aibu ila Linda Caicedo ana kitu yule mtoto