Hii system itakuwa nzuri hapo baadae endapo tutaanza kumtumia Arda, shida ni kwamba Bellingham anakiwasha sana, acha tuone itakavyokuwa baadae.
Jana team ilicheza vizuri kutokea nyuma, unaweza kuona hata pass aliopiga Tchouameni kwa Vini Jr, ni vile jana alitumika pale kwa dharura tu ila jamaa anauwezo mkubwa wa kukaba.
Muda sio mrefu vijana watakuwa uwanjani dhidi ya Braga, Luka amerudi kwenye kikosi kitakachoanza leo, Ni matumaini yangu tutakuwa na game nzuri.,
#HalaMadrid¡¡
Updates el classico kesho.
List ya majeruhi pande zote itaathiri game. Jude anaweza kosekana.
Barca washaanza kuhofia refa kwamba ni wetu cijui no mind game au ni nn
Updates el classico kesho.
List ya majeruhi pande zote itaathiri game. Jude anaweza kosekana.
Barca washaanza kuhofia refa kwamba ni wetu cijui no mind game au ni nn
Mind game hakuna lolote, tension ji kubwa sana kipindi hiki, niliona sehemu kuwa , Perez hatohudhuria hiyo game, tusubiri tuone tu yatakayojiri hiyo kesho.