Sasa kwa jinsi ilivyo CD tumebaki na Rudiger tu, na hapo hatujui atapewa adhabu ya game ngapi kwa maana ile ni straight red card., mtu mmeshashinda goli tatu, bado dakika mbili game imalizike, kisha anaenda kufanya ujinga kati kati ya uwanja, kwanza kwa mpira isingekuwa rahisi kuufikia.
Camavingq juzi alicheza vizuri sana, halafu kucheza beki ya kushoto ni faida kwetu poa, kwasababu kuna muda alikuwa anaingia ndani anakiwasha pale kati.,
Hadi sasa kafanya kaz nzuri sana huyu Bell,katoa assist nzuri na kafunga.
Huyu Vin akipata akili nusu tu ya bell basi atakuwa mzuri,huyu dogo ana akili za Quaresma wakat mwingi,anapiga chenga uwanja mzima anabaki na goli kisha anapiga nje.