Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Vijana inaonekana wanacheza ili kupata matokeo kwanza, ila kutumia mfumo, kuna haja Carlo kuangalia tena mfumo anaotumia, tunakuwa wachache sana kule mbele, acha tuwe wavumilivu tu kwanza.

Kikosi kipo ila ni mfumo sio rafiki. Ila naona brahim ni mzuri ku receive mpira katikati, kuliko pembeni. Tukicheza na vin na rodrygo mbele tunakua isolated sana mbele.
 
Mwendo ni ule ule magoli yanafungwa huon build-up ya timu kwenda kutafuta goli...na ndio maana tunapata tabu sana tukikutana na timu zenye ukuta mgumu tunapata tabu.

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app

Hili ndio nalipigia kelele siku zote, coaching ina tatizo mahali, kuna muda tunavizia kupiga longball ajabu sana
 
Kikosi kipo ila ni mfumo sio rafiki. Ila naona brahim ni mzuri ku receive mpira katikati, kuliko pembeni. Tukicheza na vin na rodrygo mbele tunakua isolated sana mbele.
Sielewi kama ni mentality ya wachezaji ama ni mfumo, wakati tunacheza 4-3-3 tulikuwa na idadi kubwa tu ya vijana kwenye eneo la tatu ya uwanja, ila sasa unakuta mara wawili ama watatu wakati huo tunacheza 4-4-2.
Pia namna ya kujiposition kwenye midfield ni tatizo, kuna muda unaona Camavinga na Tchouameni wapo sawa kule chini, ama Valverde yupo juu winga ya kulia mwenyewe, sasa hiyo build up wataifanya vipi kama tu kujipanga uwanjani ni tatizo.

Ni afadhali Carlo akaamua tu sasa kurudi kwenye mfumo uliozoeleka., kuliko huu anaotumia sasa.
 
Usajili wa Joselu ni moja ya sajili ya kishamba sana tuliyoifanya.
Usajili wa Joselu ni moja ya sajili ya kishamba sana tuliyoifanya.
 
Ni both naona..kwa maana ya leo timu inabuild-up nzuri ambayo inatoka na Girona wanaacha sana nafasi,ukiangalia namna Girona wanavyojipanga wakiwa hawana mpira utagundua hilo,kuwa utakufa wamesimama zaidi ya mmoja eneo moja wakat huo huo wamemuacha mchezaji wa madrid umbali wakuanzia mita kama tatu na zaidi,hii inapelekea sasa madrid akiwa na mpira anapoenda kushambulia anajitengeneza vyema..

Sasa tukikutana na timu ambayo ipo quick sana katika kuchukua nafasi wakiwa hawana mpira na wepesi kufika miguu kwetu tunapata tabu na ndio tunashindwa kujitengeneza mwishowe tunakuwa butua butua hatueleweki tunatumia mfumo gani.

Na hata tukishambuliwa hatufanyi marking vizuri mwishowe tunafungwa magoli mepesi.

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…