Raul na Xabi Alonso wapo wanapasha., jamaa akiweka mguu nje vijana wanatimba, hao ndio wataweza kwenda sawa na hao vijana ., Ancelloti ana shida ya kuwa na matumaini yake sehemu moja, sio mpenzi wa kubadilika.
Leo tuko uwanjani na majirani sijajua line up ya mwalimu ila game ya leo tunaitaji winga machachari, ijapokua leo vin amerudi ila sidhani kama atakua na ule utimamu
Leo tuko uwanjani na majirani sijajua line up ya mwalimu ila game ya leo tunaitaji winga machachari, ijapokua leo vin amerudi ila sidhani kama atakua na ule utimamu
Eee mzee..yaan timu haina uwezo wakukaa na mpira kabisa yaan,timu hata haijulikana tunacheza kwa mfumo gan...timu inategemea counter attack nakubahatisha kila game aisee...