Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Huyu mjapan Kubos fala sana...akiwa madrid huwa hachezi kwenye kiwango hiki,akiwa timu zingine ndo anakaza tako kichizi yaan..

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Anataka kutuonyesha kitu tulichopoteza kwake ili maboss wamfikirie.,
Vp Wakuu, kuna matumaini? Nipo mbali kidogo so mpaka sasa jitihada nilizozifanya ili nicheck game zimegonga mwamba.
 
Hii timu ina kikosi ina kila kitu, tatizo lipo kwenye coaching tuu.. maana hadi sasa tunatembelea nguvu ya wachezaji. Tujipe muda

Ila naona msimu unaisha na kocha mpya

Maana naamini hii project yote sio ya don carlo
Raul na Xabi Alonso wapo wanapasha., jamaa akiweka mguu nje vijana wanatimba, hao ndio wataweza kwenda sawa na hao vijana ., Ancelloti ana shida ya kuwa na matumaini yake sehemu moja, sio mpenzi wa kubadilika.
 
Ninaona sasa ni rasmi kuwa Tchouameni atakuwa anasimama dimba la kati, Camavinga atakuwa anagombania namba na kaka zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…