Bora huyu dogo mpk ss ana goli 4 sawa na hazard goli 4 alixopata misimu 4 madridJamaa hayo magoli yana muokoa sana, Ila performance ni ovyo mno.
Bora huyu dogo mpk ss ana goli 4 sawa na hazard goli 4 alixopata misimu 4 madrid
Kwani Mkuu unataka kusemaje.,hapo ndipo mnapokwama, nyie endeleeni kumlinganisha na Hazard huku subirini wakati mashindano yameshapamba moto muje muone udhaifu wake.
Kwani Mkuu unataka kusemaje.,
You are wronghuyo dogo baada kufanga goli mbili tatu wadau wameanza kumwaga radhi wakihisi wameshapa mtu mpya wa kuibeba timu. huku vyombo vya habari vikiengereza kimeshaanza kuchochea wakimnadi kuwa anaibeba timu, Wakati jamaa uwanjani anapotea kabisa wakati anacheza very key position, team imekuwa iki stragle mno kwenye creating huku yeye akicheza hiyo position kuu ya kufanya creating.
dogo ni overrated english player ambaye ni very average player, mbeleni ndio tutakuja kujua kuwa badala ya kutafuta proper replacement ya Benzema na Modric tumevamia mkenge.
Sidhani kama hua una angalia mechiJamaa hayo magoli yana muokoa sana, Ila performance ni ovyo mno.
Labda anacheki highlights Youtube.Sidhani kama hua una angalia mechi
Sidhani kama hua una angalia mechi
Mapema leo kabisa, 17:15 hrs saa za Afrika Mashariki.,Leo tuko uwanjani, tumerudi kucheza home ground na ni game ya mwisho kabla ya international break.
Hii game leo ni ushindi wala hatuna cha kuhofia. Leo nategemea joseluu ataanza kama namba 9. Nyuma yake atacheza rodrygo na jude kama free player. Mpira utakua wa moto
Leo tuko uwanjani, tumerudi kucheza home ground na ni game ya mwisho kabla ya international break.
Hii game leo ni ushindi wala hatuna cha kuhofia. Leo nategemea joseluu ataanza kama namba 9. Nyuma yake atacheza rodrygo na jude kama free player. Mpira utakua wa moto
Mmepigwaaaaaaaaaaaa Kenge nyie nawachukia sana.