Tukubali kupoteza wachezaji watatu tchou, valvelde na mwingine ili tupate fedha ya kumnasa mbape
Ngumu kutoka hiyoTukubali kupoteza wachezaji watatu tchou, valvelde na mwingine ili tupate fedha ya kumnasa mbape
Psg ndio kaingizwa kwenye 18 za perez.wakitaka wamuuze msimu huu nbd wakubaliane na price ya mafia PerezIyo kitu haipo. Ataondoka tuu mendy kama offer ikifika mezani. Hatuwezi ku close deal la mbappe this summer wakati next summer tunampata bure, may be psg wakubaliane na price tag yetu.
Hi my fellow Madridistasit's been quiet here for a moment!
Nasikia PSG wameamua kumuuza huyu msumbufu Mbappe. Are we in a position to secure the deal right away (with no delay)
Hello madridistas alfajiri ya kesho jumapili kuamka jumatatu team itakua uwanjani kwenye mchezo wake wa kirafiki. Ni shaukj na hamu kubwa kuona line up namna ya uchezaji
Unamaanisha alfajiri ya kuamkia jumatatu nasio kesho jumapili
Leo jitahidi saa 11 upatane na link uweze tazama timu yetu pendwa ikichezwa hapo marekani. Arda nasikia ana discomfort so hatoweza kuwapo. Heko madridistas
Hii game ilichezwa?
Huyu Bell ni mtu...ana utulivu sana wa akili na maamuzi ya busara uwanjan..Leo sijaangalia game itabidi nipate muda nirudi kuitazama. Ila hope waliona wanaona jinsi gem zetu za vijana zinazidi kubamba