Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Dah Big Bez amekula ofa ya Kibabe Saudi, akiicha hiyo watoto wake watakuja kumlani sana. Ila akiiacha Real Madrid Pengo lake ni gumu sana kuzibika kwa sasa.
Sa hvi mastaa wakubwa wanakimbilia uarabuni kula hela za mafuta,naona CR7 kawatamanisha sana,ni kama wakat ule upepo wa ligi za china.

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
Katika upuuzi ambao tutaufanya nikumleta Lukaku...hizi tetesi zibaki hivyo hivyo isiwe kwel..mtu ambaye kashindwa kufanya vizuri Man u na chelsea,huku madrid ataiwezea wapi?

Nacho nae amefunguliwa mlango.

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
Karim Benzema will say goodbye to Real Madrid fans in a press conference next Tuesday.
#Benzema

Karim leaves as most decorated player in the history of the club. Real Madrid statement says he has “earned to make the decision he prefers over his future”.

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…