Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,519
- 5,423
Bro na wasi wasi huangalii mechi za real madrid camavinga na valvelde wamecheza box to box vizuri sana msimu huu mkuuu. Take tym pitia game zao uone mambo yao aseee.Tchou mbona alicheza dakika 120 kwenye ile mechi final.
Camavinga anahitajika ku adopt box to box position ili achukuwe mikoba ya Kroos Pale Real, halafu watafute good replacement ya Modric ili aje acheze na Vinga na Tchou pamoja. Ila Jude sio chagua sahihi, mana attcking ability yake bado sio standard ya timu kama Real Madrid, na kwa position za chini hawezi kuwaingia hao madogo wa kifaransa. Wanahitaji mtu kama Bernando Silva ama Bruno Fernandez pale ambao naamini gharama yao itakuwa ndogo zaidi na uwezo wao ni mkubwa zaidi.
Bro na wasi wasi huangalii mechi za real madrid camavinga na valvelde wamecheza box to box vizuri sana msimu huu mkuuu. Take tym pitia game zao uone mambo yao aseee.
HALLA MADRID
Bernado silva sio wa bei ndogo mkuu I bet yu this time bernado silva atakuwepo kwenye top three ya baloon dior. Bei yake itakuwa mkasi ile mbaya. Bruno ndio ila shida yetu sio midfield tunao wengi sana MIDS pale hadi kuchagua inakuwa kazi. Mind yu Kovasic na Odergad wanamikataba ambayo wakitaka kuuzwa lazima real madrid afahamishwe kwanza so mido ni wa kutosha.
Tushughulikie LB RB na attackers ambao ni FALSE NINE.

Ngoja ancelotti amalizie mda wake tuu atupishe. Next season tutakua na coaching mpya
Bernado akiondoka City, basi destination ni Camp Nou. Kaeni kwa kutulia mtani. Sisi pia tunapambana na hali yetu. Kazi ya kuziba pengo la Busquets, ni kama kazi ya kuziba pengo la Modric.Asensio anaondoka plus bernado kamaliza mkataba na city mwisho wa msimu. Ngoja tuone maana lazima tuwe na wingi ya pembeni.
Brahim naona kama return yake haitowezakana. Tunaweza amua muuza tukwaisha deal la winga mwingine
Sahau kuhusu hilo, perez huwa hakurupuki
Kwa mapendekezo yako unaona kocha gani ataendana na falsafa za Real ukimuacha Carlo?Project ya club haina nafasi kwa kocha kama Ancelotti tuifadhi maneno mkuu.
Kwa mapendekezo yako unaona kocha gani ataendana na falsafa za Real ukimuacha Carlo?
Ngoja ancelotti amalizie mda wake tuu atupishe. Next season tutakua na coaching mpya
Project ya club haina nafasi kwa kocha kama Ancelotti tuifadhi maneno mkuu.
Kwa timu inavyojengwa. Ex kocha wa bayern atapewa timu ku develop wale vijana huku akiongeza ushindani. Amekuza vijana kabla ajaenda leipzig. Timu ikafika hadi semifinal
Real Madrid sio timu ya kukuza vijana. hayo ni mambo ya Arsenal, Dortmand huko
muheshimu huyo mzee, ameipa timu mafanikio makubwa tena kwenye vipindi vigumu sana.
Unaongea hivyo na ikiwa unajua team ina vijana . Hahah nimecheka tuu. Ata hivyo sipo kubishana. Nikumbushe huu msimu ujao wa mwisho kwa wachezaji wetu wakubwa wakubwa.
vijana walioletwa pale hawajaja kukuzwa, wamekuja ku perform.