Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Don Carlo abaki tufanye usajiri wa baadhi ya maeneo , striker backup ya Benzema, RB, LB, na number 10
Kwa muda sasa unajua tumekosa mtu sampuli ya Ozil,yaan namba kumi ambayo inaweza kutoa pasi mchomoko foward akabaki na kipa,yaan zile pass zakupasua ngome ya adui,tunatumia winga sana.


Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 

huyo dogo ni mtu wa ovyo tu, akitekenywa kidogo tu anatekenyeka, na mashabiki wameshamjuulia. Dram Queen
 
Inasemekana ile red card aliyopewa Vini imefutwa..

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app

ni upuuzi, amevunja kanuni za uwanjani alitakiwa aadhibiwe, Mchezaji unatikiwa uwe profesional unapokuwa uwanjani, sio kupanic na kufanya mambo ya kipuuzi. kwa walichokifanya maana yake wanamwambia na kishe kafanye tena kuliko lile haitatokezea kitu.
 
Tchouameni anatosha kwa hapo.
Tchou anatosha sana upande wa CDM ila anatatizo moja tuu jamaa kukaba anaweza shida ni kudeliver sasa madrid inataka CDM ambaye kukaba anajua yaan kuforn shield vile vile madrid inataka CDM ambaye ikifika saa ya mashambulizi ana build up haraka kwenye kushambulia. Camavinga is the best kwenye vyote viwili kule LB apatikane mtu ili CAMAVINGA akae sehemu yake Tchou atatumika kwenye rotation.
Next season we will conquer all European giants like last season.
HALLA MADRID
 

Tchou ni best Option kwa CDM. Huwezi kabisa kulinganisha umakini wa Camavinga na Tchou kwenye hiyo position, Tchou anacheza kwa umakini wa hali ya juu sana.
Tatizo kubwa pale ni Kroos, amezeeka kwa kweli na ndio anakuwa mzigo kwa wengine.
 
Tchou ni best Option kwa CDM. Huwezi kabisa kulinganisha umakini wa Camavinga na Tchou kwenye hiyo position, Tchou anacheza kwa umakini wa hali ya juu sana.
Tatizo kubwa pale ni Kroos, amezeeka kwa kweli na ndio anakuwa mzigo kwa wengine.
Nakubaliana na ww kwa 100%. Ila utakunaliana na mm Tchou anakaba sana kuliko kuanzisha mashambulizi. Ila yupo njema. Tchou na Camavinga sub zao kwenye final ya wirld cup ndo iliirudisha FRENCHMEN kwenye mchezo amasivyo game ile ilikuwa inaisha first half
 

Tchou mbona alicheza dakika 120 kwenye ile mechi final.

Camavinga anahitajika ku adopt box to box position ili achukuwe mikoba ya Kroos Pale Real, halafu watafute good replacement ya Modric ili aje acheze na Vinga na Tchou pamoja. Ila Jude sio chagua sahihi, mana attcking ability yake bado sio standard ya timu kama Real Madrid, na kwa position za chini hawezi kuwaingia hao madogo wa kifaransa. Wanahitaji mtu kama Bernando Silva ama Bruno Fernandez pale ambao naamini gharama yao itakuwa ndogo zaidi na uwezo wao ni mkubwa zaidi.
 
Bernado silva sio wa bei ndogo mkuu I bet yu this time bernado silva atakuwepo kwenye top three ya baloon dior. Bei yake itakuwa mkasi ile mbaya. Bruno ndio ila shida yetu sio midfield tunao wengi sana MIDS pale hadi kuchagua inakuwa kazi. Mind yu Kovasic na Odergad wanamikataba ambayo wakitaka kuuzwa lazima real madrid afahamishwe kwanza so mido ni wa kutosha.
Tushughulikie LB RB na attackers ambao ni FALSE NINE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…