Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ngoja kocha mpya aje. Atasahihisha hili swala
Sasa anacomplain kwamba washabiki wa Valencia walikuwa wanamfanyia sana swala la ubaguzi wa rangi,kwa hiyo hawezi tena kuendelea kucheza(amesusa),..japokuwa ni kwel amebaguliwa lakini yeye siyo wa kwanza na wala hawezi kuwa wa mwisho,issue ya ubaguzi ipo na yeye ni anatakiwa awafunge mdomo uwanjani...huyu bwana mdogo anatakiwa ajue kuwa mchezaji bora kiwango cha dunia cha juu kabisa siyo kazi rahisi..

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
Hamna kocha mpya msimu ujao, nimeona taarifa Carlo amehakikishiwa kuwa kocha mpya na wataingiza wachezaji wapya3
Hata me nimeiona...ila hata kama akibaki basi Carlo abadili aina yetu ya uchezaji,hii habari yakutegemea cross ndio tuwe tunafunga magoli almost timu zote zishapata dawa,wapinzani wetu wote wamepata dawa yetu.

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 

Dani alirushiwa hadi ndizi akachukua na maisha yakaendelea. Figo alirushiwa hadi kichwa cha nguruwe maisha yaliendelea. Atulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…