Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,516
- 5,418
For these 2 decades spanish clubs zimedominate major EUROPEAN TITLES hata upande wa international trophies spanish football imedominate sana soka la ulaya na dunia.Namshangaa huyu dogo kang'ang'ania Madrid na Barca hazina mashabiki mwanzo mwisho.
Kumbe mashabiki wake tupo na atujaanza kuzishabikia leo wala jana.
Hawawezi kuelewa mkuu. Hiyo tuzo nakumbuka ilitolewa Rome siku kadhaa kabla ya kumaliza karne ya 20, December 2000. Madrid ikashinda kwa zaidi ya asilimia 43, Man U akawa wa pili kwa asilimia kama 9 hivi na Bayern wa tatu. Milan tulikua wa 9. Fifa wameitambua Madrid kama klabu bora kwa miaka 100 nyuma kuanzia mwaka 2000, tayari akiwa na European cups za kutosha, na hiyo badge ya Fifa mpaka leo wanayo kwenye jezi yao kifuani pale, afu anatokea mtu anasema mashabiki wa Madrid wamefuata uefa miaka ya karibuni. Sitashangaa wakibeba pia hiyo tuzo kwa karne ya 21. Kubishana nao ni kupoteza muda tu.Mkumbushe hvi real madrid ndio club of the century hadi sasa anashikilia iyo tuzo
Sina tatizo nafahamu Madrid ni team kubwa wana UCL 14. Hoja yetu ni kuwa mashabiki wa Madrid bongo wana timu zao EPL wanashabikia Madrid kama second option.Mkumbushe hvi real madrid ndio club of the century hadi sasa anashikilia iyo tuzo
Sababu nishazitoa pitia post za nyuma.Una uhakika bongo hakuna mashabiki wa La liga?
Mimi ni pure cule's.
Sina timu EPL na wala sijawai kuishabikia hiyo ligi.
Una uhakika bongo hakuna mashabiki wa La liga?
Mimi ni pure cule's.
Sina timu EPL na wala sijawai kuishabikia hiyo ligi.
Hype fan base popularity massive investment ntakubaliana na ww ila spanish clubs zinawatesa sana english clubs that is black and white when it comes to EUROPEAN CUPSHype, Popularity, Extreme challenge, Intense games, Massive investment, Large fanbase nk
Hivi huko shuleni mlielewa maana ya karne?, unaposema umefanya vizuri karne 3 au 4 unajua ni miaka mingapi?, kweli mmevurugwa😅😅Na eneo la kiungo,goli mbili za kwanza zimetokea kwa kroos,kroos alikuwa na Benardo,akamuacha hata kumzuia asipige hakufanya hivyo,akamuacha akapokea mpira akafunga,la pili kwa modric kasimama bernado anatoka anaenda kucheza mpira tunafungwa.
Ni maswala ya umri nakwa sababu wameshinda kila kitu,ile mizuka haipo tena.
Cha pili ushambuliaji,Benzema kwa muda sasa hayupo kwenye ubora hata wa 80%,mpira haukai mguuni,ile control hana na hata namna yakurespond kwa wenzake akiwa na mpira kwa sasa ni low sana.
Eneo lingine ni beki za pembeni na kati,pembeni hatuna mbadala ndo maana tunamrudisha camavinga acheze kushoto ilihali kulia nako akiumia Carvajall basi hatuna mtu mwingine.
Game ya jana kupoteza ni matokeo ya Carlo kupanga kikosi kile kile na style ya uchezaji ule ule wakat mwenzako misimu kadhaa nyuma ukijumlisha na uliopita unakuwa unamtoa kila mara,na unaona anakusoma ilihali sisi hatubadiliki,huwez kumtegemea Benzema au Kutegemea mipira ya vichwa/cross ilihali City alienda sokoni kununua wachezaji wa nyuma warefu,ilitakiwa pale after first leg tujifunze kuwa ile style imefail tuje na mpango mpya wakutawala eneo la kati.
However,hatuumii kufungwa na City ila tunaumia kupoteza ubingwa wetu huu wa UCL katika hatua hii ya nusu fainali na ikumbukwe hili kombe ni haki yetu nani letu na pia ndio historia yetu na ubora wetu, na ndio maana ni club bora duniani kwa karne tatu kama siyo nne mfululizo na ndio maana huwa tunalibeba back to back as much as we can.
Halla madrid.
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Hivi unaelewa kweli unachoandika? Kwamba sababu La Liga au Serie A hazionyeshwi vibanda umiza unahisi watu hawafuatilii?Sina tatizo nafahamu Madrid ni team kubwa wana UCL 14. Hoja yetu ni kuwa mashabiki wa Madrid bongo wana timu zao EPL wanashabikia Madrid kama second option.
Na hata mechi za La Liga wengi hawaangalii zaidi zaidi kuona matokeo Livescore na YouTube. Wengi wanaangalia El Classico tu utabisha ila huo ndio ukweli.
Basi fanya ivi vote for club of the decade. Weka mahaba pembeni unaipigia kura club ipi?????Hivi huko shuleni mlielewa maana ya karne?, unaposema umefanya vizuri karne 3 au 4 unajua ni miaka mingapi?, kweli mmevurugwa😅😅
Sipingi hilo La Liga imekua Ligi bora kwa miaka mingi (Madrid na Barca). Na wameshinda Ballon d or nyingi plus best Fifa XI La Liga wametoa wachezaji wengi.Hype fan base popularity massive investment ntakubaliana na ww ila spanish clubs zinawatesa sana english clubs that is black and white when it comes to EUROPEAN CUPS
Sasa aliezaliwa 2000 si watu wazima hao tupo nao JF na kwenye mabanda umiza. Nimeona madogo wengi sana mashabiki wa city miaka kadhaa mbele wala hatutashangaa kuwaona.Kwa waliozaliwa 2000's ni sahihi unachosema. Sababu ule msimu wa 2010-2011 ambao City alichukua Epl dakika ya mwisho kwa goli la kihistoria la Aguero vs QPR ni mwaka ambao waliozaliwa 2000's ni kama ndo walianza kua na ufahamu wa mpira
Soma tena ueleweHivi unaelewa kweli unachoandika? Kwamba sababu La Liga au Serie A hazionyeshwi vibanda umiza unahisi watu hawafuatilii?
kyra ni kitu gani?, ninarudia mmevurugwa vibaya mno😅😅😅Basi fanya ivi vote for club of the decade. Weka mahaba pembeni unaipigia kyra club ipi?????
Waambie hata PEP ni muispaniola mkatalunya ulipozaliwa mpira.For these 2 decades spanish clubs zimedominate major EUROPEAN TITLES hata upande wa international trophies spanish football imedominate sana soka la ulaya na dunia.
Leo city wapo ivo kwa sababu wanacheza mfumo wa spanish football ambayo ni asili ya soka la dutchmen
Ninaweza nikawa nimeongeza chumvi kwa kuweka idadi kubwa ya Karne zakutawala lakini haiondoi ukwel kuwa kwa karne/century hii ya 21,Real Madrid ndio Club Bora kwa sasa.Hivi huko shuleni mlielewa maana ya karne?, unaposema umefanya vizuri karne 3 au 4 unajua ni miaka mingapi?, kweli mmevurugwa
Ngoja nikueleweshe. Nimeongelea kibanda umiza kama sample. Watanzania wengi wa hali ya kawaida hawana uwezo wa kumiliki DSTV hivyo huangalia mechi kibanda umiza au kununua kinywaji bar ili kutazama mechi.Hivi unaelewa kweli unachoandika? Kwamba sababu La Liga au Serie A hazionyeshwi vibanda umiza unahisi watu hawafuatilii?
Sababu gani umezitoa?Sababu nishazitoa pitia post za nyuma.
Mkumbushe tuu anapokuwepo PEP kama cocha wa club hata timu ya taifa alipo hiyo club mfumo wa uchezaji wake hubadilika. Alipo kuwa Buyern soka Dutchland likaanza kucheza tik tak. Leo hii ENGLISH NATIONAL TEAM ni timu shindani ikicheza INTERNATIONAL CUPS huku ikiwa na uchezaji wa pasi nyingi.Waambie hata PEP ni muispaniola mkatalunya ulipozaliwa mpira.
Aliifanya Barca kuwa timu tishio.Ilicheza mpira ambao wenye akili timamu wote tunakubaliana hakuna timu yoyote duniani itaucheza.
Mwambie pia Mancity imeigeuza EPL kuwa farmers league kwa sababu ya falsasa za Guardiola kuamini katika possesion football kinyume kabisa ma matimu ya uingereza yasiyojua mpira.
Umeona mpira anaoucheza Guardiola?
Anawatesa sana lakini bado wanaona Uingerza kuna mpira kuliko Spain.
Kila zama na kitabu chake.Waambie hata PEP ni muispaniola mkatalunya ulipozaliwa mpira.
Aliifanya Barca kuwa timu tishio.Ilicheza mpira ambao wenye akili timamu wote tunakubaliana hakuna timu yoyote duniani itaucheza.
Mwambie pia Mancity imeigeuza EPL kuwa farmers league kwa sababu ya falsasa za Guardiola kuamini katika possesion football kinyume kabisa ma matimu ya uingereza yasiyojua mpira.
Umeona mpira anaoucheza Guardiola?
Anawatesa sana lakini bado wanaona Uingerza kuna mpira kuliko Spain.
Msingi wa hoja yangu haupo kwenye ubora wa La Liga vs EPL. Msingi ni kwamba mashabiki wengi wanashabikia Barca/Madrid kama second option ya kufata glory ya UEFA.Waambie hata PEP ni muispaniola mkatalunya ulipozaliwa mpira.
Aliifanya Barca kuwa timu tishio.Ilicheza mpira ambao wenye akili timamu wote tunakubaliana hakuna timu yoyote duniani itaucheza.
Mwambie pia Mancity imeigeuza EPL kuwa farmers league kwa sababu ya falsasa za Guardiola kuamini katika possesion football kinyume kabisa ma matimu ya uingereza yasiyojua mpira.
Umeona mpira anaoucheza Guardiola?
Anawatesa sana lakini bado wanaona Uingerza kuna mpira kuliko Spain.