the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,612
- 7,112
Kwa waliozaliwa 2000's ni sahihi unachosema. Sababu ule msimu wa 2010-2011 ambao City alichukua Epl dakika ya mwisho kwa goli la kihistoria la Aguero vs QPR ni mwaka ambao waliozaliwa 2000's ni kama ndo walianza kua na ufahamu wa mpiraSasa huwa mnasema mashabiki wa city ni watoto wa 2000's ...sasa mtoto wa 2000's ulitegemea awe shabiki wa timu gani?
Yani mtu mwenye 16-20 akikwambia anashabikia city wewe hapo unashangaa nin?
Wewe ulipokua mdogo ukaipenda milan ni sawa ila yule aliyeipenda city ni mtafuta faraja?
Na eneo la kiungo,goli mbili za kwanza zimetokea kwa kroos,kroos alikuwa na Benardo,akamuacha hata kumzuia asipige hakufanya hivyo,akamuacha akapokea mpira akafunga,la pili kwa modric kasimama bernado anatoka anaenda kucheza mpira tunafungwa.
Sasa hapo ndio hoja ilipo kuwa LA LIGA bongo haina mvuto na mashabiki wengi humu jukwaani lazima wana timu zao za EPL wanashabikia (hio ndio hoja yetu). Kama mngekua mashabiki kweli mngebaki tu kuwa mashabiki wa Madrid bila kuwa na timu ingine EPL(Wengi wanashabikia Madrid sababu ya kufuata furaha ya UEFA)Umekalil vibaya mkuu SPANISH LA LIGA ndo my first choice tangu 1998.
Hapo EPL utanikuta nipo the blues tangu enzi za claudio Ranieri
Inter haina ubora kama ule wa mourinho alivyokuwa nao..binafsi naona fainal nyepesi sana kwa city.Inter Milan watawatoa tu, Madrid ilikuwa bovu tofauti na mwaka Jana! Pia ni hao hao tu toka 2014, hawanunui wachezaji wapya
Sina uhakika kama Madrid wataendelea na Don carlo msimu ujao kwa soka la sasa sioni akifanya vizuri akiendelea kuwepoDon carlo anasisitiza kwamba bado yupo yupo sana. Nilifikiri XABI ALONSO na RAUL GONZALEZI wangepewa mikoba ila tuendeleee kumuamini DON CARLO aendelee kutuongoza.
As always...halla madridI'm more sad than angry, it hurts a lot. We will return with more strength. 🤍
HALLA MADRID
Kwa mimi nafikiri anatakiwa aachie ngazi,aje Xavi alonso ambaye kaonyesha jambo huko Ujerumani..Don carlo anasisitiza kwamba bado yupo yupo sana. Nilifikiri XABI ALONSO na RAUL GONZALEZI wangepewa mikoba ila tuendeleee kumuamini DON CARLO aendelee kutuongoza.
Mzee bado ana vitu labda umri tuSina uhakika kama Madrid wataendelea na Don carlo msimu ujao kwa soka la sasa sioni akifanya vizuri akiendelea kuwepo
Mimi sina timu EPL wala hio ligi hua sina mzuka nayoSasa hapo ndio hoja ilipo kuwa LA LIGA bongo haina mvuto na mashabiki wengi humu jukwaani lazima wana timu zao za EPL wanashabikia (hio ndio hoja yetu). Kama mngekua mashabiki kweli mngebaki tu kuwa mashabiki wa Madrid bila kuwa na timu ingine EPL(Wengi wanashabikia Madrid sababu ya kufuata furaha ya UEFA)
Kwa kuwa EPL ni ligi maarufu bongo ndio maana wengi lazima wanaoshabikia. Ni kawaida mashabiki wengi wa EPL wanashabikia EPL tu bila kushabikia LA LIGA ila ni nadra kumkuta mshabiki wa LA LIGA hashabikii EPL (wengi wenu mnaishabikia EPL)
Nafikiri jana ulimuona alivyopagawa mbinu zote zimegonga mwamba madrid inatakiwa kupita fagio na kocha mwengineMzee bado ana vitu labda umri tu
Tatizo mmekariri kwamba kila anaependa mpira lazima awe na timu England. Binafsi ni die hard fan wa Ac Milan, nafuatilia Serie A kama mnavyofuatilia Epl. Sina timu nnayoshabikia England zaidi ya kuwaheshimu tu Liverpool ambao Milan tuna historia nao. Ila sababu napenda mpira naangalia sana na kuifuatilia pia Epl sababu ni wazi ndio ligi maarufu, na sababu kila mwaka huwa nacheza Epl fantasy. Nafahamu pia watu wanaoishabikia timu kama Bayern, Madrid, Juve n.k kindakindaki na Epl wanaangalia kwa mapenzi tu ya mpira, so usikariri kila mtu lazima awe na timu England. Kingine Madrid haijaanza kutakata miaka ya karibuni ambayo wameanza kuchkua uefa mfululizo kama wengi wanavyodhani. Miaka na miaka Madrid hawajawahi kupotea kwenye ramani, toka miaka hiyo mpaka zama za Florentino Perez kuanzia miaka ya 2000 na policy yake ya Galacticos. So ni sahihi kumkuta mkongwe anashabikia MadridSwali unashabikia timu gani EPL? (najua unayo unayofatilia). Hapo ndio hoja yetu ilipo mkuu kuwa Madrid ni second choice yenu mmefuata glory ya kushangilia UEFA ikiisha nyinyi ni GLORY HUNTERS.UEFA ikiisha mnarudi timu zenu. BONGO HAKUNA MASHABIKI WA LA LIGA.
Huo mvuto unaousemea ni upi....??Sasa hapo ndio hoja ilipo kuwa LA LIGA bongo haina mvuto na mashabiki wengi humu jukwaani lazima wana timu zao za EPL wanashabikia (hio ndio hoja yetu). Kama mngekua mashabiki kweli mngebaki tu kuwa mashabiki wa Madrid bila kuwa na timu ingine EPL(Wengi wanashabikia Madrid sababu ya kufuata furaha ya UEFA)
Kwa kuwa EPL ni ligi maarufu bongo ndio maana wengi lazima wanaoshabikia. Ni kawaida mashabiki wengi wa EPL wanashabikia EPL tu bila kushabikia LA LIGA ila ni nadra kumkuta mshabiki wa LA LIGA hashabikii EPL (wengi wenu mnaishabikia EPL)
Mkumbushe hvi real madrid ndio club of the century hadi sasa anashikilia iyo tuzoTatizo mmekariri kwamba kila anaependa mpira lazima awe na timu England. Binafsi ni die hard fan wa Ac Milan, nafuatilia Serie A kama mnavyofuatilia Epl. Sina timu nnayoshabikia England zaidi ya kuwaheshimu tu Liverpool ambao Milan tuna historia nao. Ila sababu napenda mpira naangalia sana na kuifuatilia pia Epl sababu ni wazi ndio ligi maarufu, na sababu kila mwaka huwa nacheza Epl fantasy. Nafahamu pia watu wanaoishabikia timu kama Bayern Madrid, Juve n.k kindakindaki na Epl wanaangalia kwa mapenzi tu mpira, so usikariri kila mtu lazima awe na timu England. Kingine Madrid haijaanza kutakata miaka ya karibuni ambayo wameanza kuchkua uefa mfululizo kama wengi wanavyodhani. Miaka na miaka Madrid hawajawahi kupotea kwenye ramani, toka miaka hiyo mpaka zama za Florentino Perez kuanzia miaka ya 2000 na policy yake ya Galacticos. So ni sahihi kumkuta mkongwe anashabikia Madrid
Namshangaa huyu dogo kang'ang'ania Madrid na Barca hazina mashabiki mwanzo mwisho.Wewe unongea tu kuna mashabiki wa hiyo timu wengi tu. Mfano mimi ni shabiki wa Barça na hakuna mechi ninayokosa kuitazama ni chache sana huwa zinanipita
Ndio maana nikasema ni nadra wewe ni excepton ila wengi hawapo kama weweMimi sina timu EPL wala hio ligi hua sina mzuka nayo
Laliga nako bingwa wetu barcelona kashachukua dah
Sema Madrid hatupo levo ya mancity kabisa mazee..Mancity ni litimu limoja linatisha sana
Hype, Popularity, Extreme challenge, Intense games, Massive investment, Large fanbase nkHuo mvuto unaousemea ni upi....??
Una uhakika bongo hakuna mashabiki wa La liga?Swali unashabikia timu gani EPL? (najua unayo unayofatilia). Hapo ndio hoja yetu ilipo mkuu kuwa Madrid ni second choice yenu mmefuata glory ya kushangilia UEFA ikiisha nyinyi ni GLORY HUNTERS.UEFA ikiisha mnarudi timu zenu. BONGO HAKUNA MASHABIKI WA LA LIGA.