Basi,imetosha...hatuwezi pindua meza hapo...tujipange for next msimu,tutafute beki zakushoto na foward maana Benzema anahitaji msaidizi wakueleweka,unaona kabisa anachechemea ila kwenye benchi utamuingiza nani sasa?
Hatimaye ule ubishani umefikia tamati. Siwashabikii City ila ni ukweli usio na shaka kuwa City ndio timu bora zaidi duniani kwa sasa ( kwa maoni yangu)
Hatimaye ule ubishani umefikia tamati. Siwashabikii City ila ni ukweli usio na shaka kuwa City ndio timu bora zaidi duniani kwa sasa ( kwa maoni yangu)