Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Sisi hua hatuendi huko kwao ajabu wao wanakuja huku na matusi yao yaani shabiki wa RMA nipoteze mda wangu kubishana na mtu wa Man city ni upotevu wa mda na nguvu

Man city haina mashabiki. Shabiki yeyote wa city ni either mtoto sana au shabiki wa timu nyingine anayetafuta faraja kwa city na wote ni wajinga wajinga.
 
Binafsi sijawahi ona mashabiki wa real Madrid bongo hata jf hakuna ....

Hakuna mtu anayefuatilia ligi mbovu kama la Liga
,week after week hata vibanda umiza huwezi Kuta wanapoteza muda kuangalia la Liga ,ni Bora kucheki game za Brighton vs lecister city .....



nyie wote humu ni mamruki ambao mnatokoea msimu wa UEFA tu na kupoteana baada ya mashindano ya UEFA kuisha ....kisa Madrid anacheza UEFA .....


Futeni huu Uzi hauna maana
 
Madrid Haina mashabiki bongo bana ,hawa ni mamruki wanaojitokeza kipind cha UEFA ,baada yapo yanarudi kwenye team zao


Nan anapoteza muda kuangalia la Liga ,mambo mengine unacheka tu
 
Madrid Haina mashabiki bongo bana ,hawa ni mamruki wanaojitokeza kipind cha UEFA ,baada yapo yanarudi kwenye team zao


Nan anapoteza muda kuangalia la Liga ,mambo mengine unacheka tu

Kalili natimu zenu zaurithi hizo
 
Hili timu halina nafasi bongo ,sijui hata Hawa mashabiki wanatoka wapi ....

Maana hakuna mtu anayefuatilia huko la Liga
...

Majitu yamekaza fuvu tu kudandia timu ,UEFA ikiisha huwezi kuyaona humu Tena ....

Epl is football the best league ,laliga huko wanacheza soccer na hakuna mtu anayefuatilia ...

Ni Bora kuangalia brighton vs man united kuliko Madrid vs ossasuna
ndio ujue nyie mamruki mmeyakanyaga ,tafuteni timu za kushabikia bana ....
 
Mechi ilikua ya ushindi kabisa, Kuna kazi kubwa Etihad
Kwa mtazamo wangu,kila timu ina kazi kubwa kwa sababu sasa hvi kwanza hakuna mambo ya away goal...ni ngoma mnahesabiana tofauti ya magoal..pamoja na kuwa wametoa sare ila timu imeweza kucheza vyema nakutengeneza nafasi...pamoja na hoja kuwa city inapewa chapuo(kama ilivyo misimu yote) lakini sisi tuna team ambayo inaweza kupata matokeo uwanja wowote ule na angalia trending ya madrid toka miaka ya nyuma,second leg hatua ya mtoano ndio inakuwa hatar zaidi kuliko first leg.

Binafsi nina imani kubwa sana yakubeba ndoo hii tena msimu huu,tutaenda kushinda kwao pale pale.

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
Madrid Haina mashabiki bongo bana ,hawa ni mamruki wanaojitokeza kipind cha UEFA ,baada yapo yanarudi kwenye team zao


Nan anapoteza muda kuangalia la Liga ,mambo mengine unacheka tu
Unawasikia eti wanajitapa wenyewe mashabiki wa La Liga. Humu wote wana timu zao za EPL ila ni glory hunters tu wanaoshabikia Madrid sababu inafanya vizuri UEFA tu.

Bongo hakuna mashabiki wa La Liga ukitaka kuamini hakuna kibanda umiza TZ kinachoonesha mechi za La Liga tofauti na El classico
 

Kumbe ww mpira unaangaliaga kibanda umiza mzee
 
Kumbe ww mpira unaangaliaga kibanda umiza mzee
Nimeongelea kibanda umiza sababu ndio sehemu unaweza pima timu ina mashabiki au laah. Bongo hakuna mashabiki wa La Liga mzee hata wewe na uhakika una timu unayoikubali EPL Madrid umefata glory tu ya UEFA.

Kama unabisha nitajie kibanda umiza kinachoonesha Mwchi ya La Liga na watu wakatoa hela kuangalia wakazidi hata watatu tofauti na mechi ya El classico
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…