Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Uwe unaangalia mpira mzee baada ya kutoka Madrid walimiliki mpira wakanyanganywa then goli likatokea ....
Uwe unaangalia mpira mzee baada ya kutoka Madrid walimiliki mpira wakanyanganywa then goli likatokea ....
Mnaingia na matokeo yenu uwanjani nin ?
Uwe unaangalia mpira mzee baada ya kutoka Madrid walimiliki mpira wakanyanganywa then goli likatokea ....
Mnaingia na matokeo yenu uwanjani nin ?
Wewe ni fala Madrid ndio walichukua huo mpira ...Nijibu Hili, mpira ukitoka sideline unarudi ndani kwa njia gani? Jibu Hilo tu.
Wewe ni fala Madrid ndio walichukua huo mpira ...
Wewe ni mpumbavu mpira kama hukuangalia unataka nije nikueleze , kangalie tukio ..Jibu swali acha ngonjera, mpira ukitoka sideline unarudi ndani kwa njia gani?
Wewe ni mpumbavu mpira kama hukuangalia unataka nije nikueleze , kangalie tukio .
Wewe ni mpumbavu mpira kama hukuangalia unataka nije nikueleze , kangalie tukio ..
au kanaangalia livescore kwa simu ya alfu sabini
Nilishaongeaga humu way back, hizi timu za EPL including their fans ni malimbukeni mno wa UEFA! hawa City na wenzao Chelsea plus Liverpool ikifikaga hatua za ku-qualify next round wanakuwaga na kelele sana na upumbavu mwingi mno. Jioneeni wenyewe sasa!Wewe ni mpumbavu mpira kama hukuangalia unataka nije nikueleze , kangalie tukio ..
Ndio shida yenu mashabiki wa EPL, hamnaga ustaarabu kabisa!Wewe ni fala Madrid ndio walichukua huo mpira ...
Ndio shida yenu mashabiki wa EPL, hamnaga ustaarabu kabisa!
Hebu jaribu ku-challenge hoja uwawakilishe wenzio, na sio ku-insultWewe ni mpumbavu mpira kama hukuangalia unataka nije nikueleze , kangalie tukio ..
Alikuwepo mshamba mwenzio wa kuitwa OllaChuga Oc huyu kwa ushamba alionao bado humfikii!Wewe ni fala Madrid ndio walichukua huo mpira ...
Watu kama Hao siwezi poteza muda kubishana nao ....Hebu jaribu ku-challenge hoja uwawakilishe wenzio, na sio ku-insult
Tulia we kiaziWatu kama Hao siwezi poteza muda kubishana nao ....
Mtu kaangalia mpira kabisa ..
Bernardo silva kafanya clearence mpira unataka kutoka ,mbaya zaidi ,mbaya zaidi haikuonekana kama ulikuwa umetoka au laaah ,....
Baada ya hio clearence camavinga ndio aliwin mpira ,kiufupi baada ya bernado silva kupiga huo mpira mnaosema umetoka nje ulifikia miguuni mwa camavinga ,referee alipeta Kwa sababu ni advantage Kwa Madrid,na Hilo liko wazi ,muda huo hata wachezaji wa madrid walilidhika kabisa,...Madrid wamecheza huo mpira pass after pass wakanyanganywa ,ndio city akamiliki mpira na kufunga ....which is another phase ..........
Mtu kama Carlo unakuta analialia sijui ulitoka anashindwa kusema baada ya kutoka wao ndio walipossess kama advantage...acheni ujanja ujanja chezeni football
Sijui kwanin watu wanashindwa kuona hiki kitu ,wanataka kitongaa na kuja na vipicha vya kijinga ,wanafikili referee ,var ,zaidi ya camera 20 ziko uwanjan zilikuwa hazioni kinachoendelea ....
Vilaza nyie this time mmeyakanyaga ,tutawagonga mpaka mchakaeeeTulia we kiazi