Madrid huwa tuna tatizo moja la namna yakumark mtu ambaye ameshatufunga katika game hiyo au kwa lugha nyepesi kumsoma mtu aliyetufunga goli la kwanza,na ndio maana utaona katika mechi moja mara nyingi tutafungwa goli hata tatu au nne na mtu huyo huyo mmoja.
Timu imechoka na haina morali, Carlo naye hajui kufanya rotation.Pia kuna average players wengi hawastahili kuvaa jezi ya Real.
Mechi ya Man city inaeza amua hatma ya Carlo.