Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,516
- 5,418
Hatutaki cha benfica wala chelsea, roho bado zinauma asee tukutane mtueleze vizuri mlitufungaje zile goli 2 za jioni.Huwa hamkomi tu
Hakuna team isiyo na kisasi cha kulipa dhidi ya Real Madrid, kwenye hii michuano Real imeumiza team nyingi., so nyie hamtakuwa wa kwanza.Hatutaki cha benfica wala chelsea, roho bado zinauma asee tukutane mtueleze vizuri mlitufungaje zile goli 2 za jioni.
Ngoja tusubiri draw.Hakuna team isiyo na kisasi cha kulipa dhidi ya Real Madrid, kwenye hii michuano Real imeumiza team nyingi., so nyie hamtakuwa wa kwanza.
Hata wacheze 15 against 11 hawatoboi jana Camavinga na Luca wamefundisha watu mpiraCamavinga kachakaza dimba.
Vinicius ni hazina ya taifa.
Benzema ni mnyama.
Ili timu za EPL ziifunge Madrid inabidi ziungane zote.
Hutumii akili mbona man city anambanduaga Madrid sana tuHata wacheze 15 against 11 hawatoboi jana Camavinga na Luca wamefundisha watu mpira
Na hamu wakutane na Man City nione burudani ya soka.Camavinga kachakaza dimba.
Vinicius ni hazina ya taifa.
Benzema ni mnyama.
Ili timu za EPL ziifunge Madrid inabidi ziungane zote.
Wakutane mara ngapi uamini kuwa city huwezi all timer championNa hamu wakutane na Man City nione burudani ya soka.
Vini anatuangusha anaweka chenga nyingi sana badala ya kutafuta goli
Wakutane tena msimu huu tuone sokaWakutane mara ngapi uamini kuwa city huwezi all timer champion
Weka ushahidi hapa sio ngonjera..na mtazidi kuumia mbwa nyieHutumii akili mbona man city anambanduaga Madrid sana tu
Tupewe yoyote mradi tuanzie ugenini tumalizie nyumbani.
Kweny plot ya Real Madrid na Bayern Munich inatoa Bingwa ila mwaka huu tutaenda kushuhudia finaili nyepesi View attachment 2555344
Mwaka 2019/2020 tulimpiga Madrid nje ndani 2-1 home ,tukaenda kwao tukampiga 2-1 , aggregate 4-2 ...Weka ushahidi hapa sio ngonjera..na mtazidi kuumia mbwa nyie
Mwaka 2019/2020 tulimpiga Madrid nje ndani 2-1 home ,tukaenda kwao tukampiga 2-1 , aggregate 4-2 ...
Madrid akatolewa kwenye mashindano round of 16 ...
Yaliyotokea mwaka Jana kumfunga Madrid 4-3 home ,tukaenda kwake 2-1 ,had extra time ilikuwa kma luck kwao ..
Nasema hivi kama mnaweza nyie mbwa njooni tukutane Tena CL ....ngonja kwanza tumtwange buyern munich harafu tunakuja kuwanyoosha mtaeleza zile goli mbili dakika ya mwisho mlizipataje ..View attachment 2555377
Ngoja tuone ubabe wenu kwa Bayern...Mwaka 2019/2020 tulimpiga Madrid nje ndani 2-1 home ,tukaenda kwao tukampiga 2-1 , aggregate 4-2 ...
Madrid akatolewa kwenye mashindano round of 16 ...
Yaliyotokea mwaka Jana kumfunga Madrid 4-3 home ,tukaenda kwake 2-1 ,had extra time ilikuwa kma luck kwao ..
Nasema hivi kama mnaweza nyie mbwa njooni tukutane Tena CL ....ngonja kwanza tumtwange buyern munich harafu tunakuja kuwanyoosha mtaeleza zile goli mbili dakika ya mwisho mlizipataje ..View attachment 2555377