Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Madrid wenzangu imekua poa tumeibuka na ushindi leo pira limepigwa nafikiri tusubiri draw ya hapo ijumaa tujue mbivu na mbichi kuelekea fainali.

Camavinga anazidi kumpa wakati mgumu tchouameni maana anapocheza vizuri ndio anatakiwa kucheza tchouameni iyo nafasi.

Kikubwa ushindi kwetu ni bomba tukutane la liga jumapili. Barca huwa anatusumbua sana ngoja tuone kama tutakua na mchezo mzuri.

Hala Madrid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…