Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mchezaji mzuri sana? Alafu unasema vitu vidogo? vitu vidogo kwenye mipira 10 anaharibu 9 alafu unasema vitu vidogo?
Hivyo vitu vidogo havimpunguzii sifa ya kuwa mchezaji mzuri., bado ni kijana kuna vitu anajaribu kufanya, vinaweza kwenda Sawa ama akaharibu., ninaamini kama akipata msaada mzuri wa kisaikolojia atafikia kiwango chake cha msimu uliopita na hata kupita. Kwenye mpira kunahitajika uvumilivu wakati mwingine., na club inajua hilo haiwezi kufanya makosa kama kwa yaliyotokea kwa akina., Theo Hernandez., Odegaard nk., wale watu na professionals so ninajua wanayafanyia kazi mapungufu yake.
 

hakuna makosa waliyoyafanya popote kwenye hao wachezaji uliowataja, Wote wali devolope baada ya kuondoka kwenye timu. Wengilendelea kukaa hakuna uhakika kama wangeweza kuwa kama walivyo sasa.
 
Jude Bellingham kwenye radar yetu. Huyo dogo anaweza kutufaa kuziba bengo la maestro Luca akiondoka
Watoto wa King Charles huwa hawaaminiki. Kuna yule kijana wa kijerumani wa kuitwa Jamal Musiala. Atakaeweza kumtoa pale Bayern, atakua amepata mchezaji kweli kweli.

Na huyu jamaa anaesema Vini jr ni mchezaji wa hovyo, anatakiwa aache kumlinganisha na akina Messi na Ronaldo. Aangalie current transfer market, kuna wachezaji wawili wanaojua kumzidi Vini jr? I doubt!

Siku hizi vipaji ni vya kutafuta kwa tochi. Kwa level yake, Vini ni world class. Just below Pedri and Gavi!

 
Bavarians kuachia mchezaji sio rahisi aseee ni kama yanga africa
 
Defense ya Liverpool ni mbovu sana, wakati frontline yao iko vizuri kiasi. Mechi itakua rahisi kama mtawashambulia ili watumie muda mwingi kujilinda badala ya kupanda juu.

Niliwaambia kuna vibonde wengi kwenye UEFA msimu huu. Ukikutana na team kama Chelsea au Inter Milan robo fainali, ni nafuu sana. Nadhani Man City na Bayern Munich pekee ndio wanaweza kuwatuliza.

Kwa hali ilivyo, naona Liverpool anakufa leo pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…