Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,516
- 5,418
Iyo ngekewa mbona nyie hamuipatiMungu awabariki Atletico. Mtani komaa na UEFA, domestic cups tunabeba zote msimu huu.UEFA kuna vibonde wengi msimu huu. Mkikomaa na ile ngekewa yenu, mnaweza kanya jambo.
Just imagine Liverpool, Chelsea na akiba Dortmund bado wako uko. Hata Man City na PSG wa sasa hawana maajabu kabisa. Teams zenye form nzuri, zilitoka mapema. Komaeni na hao vibonde!
Mungu awabariki Atletico. Mtani komaa na UEFA, domestic cups tunabeba zote msimu huu.UEFA kuna vibonde wengi msimu huu. Mkikomaa na ile ngekewa yenu, mnaweza kanya jambo.
Just imagine Liverpool, Chelsea na akiba Dortmund bado wako uko. Hata Man City na PSG wa sasa hawana maajabu kabisa. Teams zenye form nzuri, zilitoka mapema. Komaeni na hao vibonde!
Sie tuna options za kutosha., hatuna hata haja ya kukimbizana kutafuta kocha., kwanza ninadhani Ancelotti akitoka ataingia Raúl., ama atarudi Zidane ama Potechino., pia tuna Xabi Alonso anafanya ya vizur sana HUKO BundesligaThomas Tuchel tumuwahi mapema aseee ancelot anaweza timukia Brazil mwisho wa msimu.
Nyie hata Europa tu imewashinda., Sasa sijui tuwasaidie vp ndugu yangu.Mungu awabariki Atletico. Mtani komaa na UEFA, domestic cups tunabeba zote msimu huu.UEFA kuna vibonde wengi msimu huu. Mkikomaa na ile ngekewa yenu, mnaweza kanya jambo.
Just imagine Liverpool, Chelsea na akiba Dortmund bado wako uko. Hata Man City na PSG wa sasa hawana maajabu kabisa. Teams zenye form nzuri, zilitoka mapema. Komaeni na hao vibonde!
Labda yatokee maajabu., ila kuwatoa jamaa pale juu ni zaidi ya mtihani.,Laliga inazidi kutukimbia kwenda kusikojulikana. Tukomae na copa de rey ambacho ndio next mechi yetu iyo na Barcelona.
Bila hivyo tutaishia hizi kombe tulizochukuq tuu msimu huu
Naomba tusifanye majaribio wa Hawa vijana tuliowalea na kuwakuza akina Raul na xabi. Labda uniambie zizou kidogo ntakuelewa. Tomas Tuchel au klopp ni Watu sahihi kwetuSie tuna options za kutosha., hatuna hata haja ya kukimbizana kutafuta kocha., kwanza ninadhani Ancelotti akitoka ataingia Raúl., ama atarudi Zidane ama Potechino., pia tuna Xabi Alonso anafanya ya vizur sana HUKO Bundesliga
Tusifanye nao majaribio kivipi Mkuu., mbona hao akina Klopp walitokea huko huko., Zidane alikuwa msaidizi wa Ancelotti baadae akaenda team B., then tukampandisha, Raul anafanya vizur tu kwasasa na RM Castilla, Alonso alikuwa Real Sociedad B, na kwasasa yupo Bayer Leverkusen, so hawa tukiwaamini wanaweza kufikia hizo level za akina Klopp baadae.Naomba tusifanye majaribio wa Hawa vijana tuliowalea na kuwakuza akina Raul na xabi. Labda uniambie zizou kidogo ntakuelewa. Tomas Tuchel au klopp ni Watu sahihi kwetu
Tusifanye nao majaribio kivipi Mkuu., mbona hao akina Klopp walitokea huko huko., Zidane alikuwa msaidizi wa Ancelotti baadae akaenda team B., then tukampandisha, Raul anafanya vizur tu kwasasa na RM Castilla, Alonso alikuwa Real Sociedad B, na kwasasa yupo Bayer Leverkusen, so hawa tukiwaamini wanaweza kufikia hizo level za akina Klopp baadae.
Tukiamua kubishana ili kusogeza muda, tutabishana mtani. Ila tukiongelea facts, kwa sasa Arsenal na Manchester United ni team bora kwa uingereza kuliko Liverpool na Chelsea!Yaani zinaform nzuri alaf zimetoka mapema ndio nn sasa
Laliga na Copa del Rey zinatosha kwa kuanzia. Then Xavi atatu-upgrade next season mtani.Nyie hata Europa tu imewashinda., Sasa sijui tuwasaidie vp ndugu yangu.
Ngekewa hupata wachache. Ingekua kila mtu anapata, basi ingekua sio ngekewa tena!Iyo ngekewa mbona nyie hamuipati
Huyo aendelee kula pension yake.Wamrudishe tu zidane yuko vizuri sana
Tatzo la Zizu mwoga sanaWamrudishe tu zidane yuko vizuri sana
Tetesi zilizopo ni Kwamba don Carlo anaweza timukia Brazil. Real Madrid inajaribu kumshawishi klopp jurgen atue Madrid kwani Kuna hazina kubwa ya vijana wachanga ambayo klopp anaweza fanta nao kazi
Carlo ni zaidi ya Klop.