Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kituo kinachofuata ni La Liga dhidi ya Sociedad., hii itakuwa Jumapili, mida ni ile ile saa Tano usiku., kisha Alhamis tunawakaribisha Valencia., safari hii ni noma sana

Ndio nafikiri baada ya valencia tutaenda club worldcup.

Naomba hii form na spirit ya kupambana iendelee hadi tunapoanza usiku wa uefa.

Go Madrid.
 
Leo nachokiona kwa kikosi hiki. Kitakua cha myumbuko. Nategemea kuna muda rodrygo atatoka wingi ya kushoto na kutengeneza second stricker. Huku litabaki jukumu la Valverde ku cover iyo space.

Pia kuna mida cebalos na kross watabaki chini then camavinga atasogea acheze more direct kati kama 8 ya ziada huku toni akicover eneo la beki wa kushoto hapo ikiwa imebaki na beki 3.
 
Team imecheza vizuri sana., ila tumekosa point tatu., goli Leo lilikuwa mguuni mwa Vinicius, ila ndio hivyo kijana sio mmaliziaji mzuri., kila kitu vijana wamefanya to its perfection., ila ndio hivyo., haikuwa bahati.
#HalaMadrid
Mkuu hivi unamlaumu vipi Vinicius nadhani Sociedad walikua bora sana katika kudefend ikiwa ni pamoja na kipa wao. Walikua bora sana huwezi kumlaumu mchezaji hata mmoja leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…