Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hii game tulikosa ubunifu kati kati,
Jana sikuweza kujua roles ya Tchouaméni na Kroos uwanjani ilikuwa ni zipi., yaani walikuwa muda mwingi wanacheza upande mmoja, Modrić na mwenzie Valverde haki kadhalika, kwa jinsi team ilivyokuwa inacheza utadhani hawajahi kucheza pamoja., kuna makosa Ancelotti aliyaona ninadhani atayafanyia kazi kwenye game zinazofuata.
 
Ile break ya worldcup imetugharimu
 
Ile break ya worldcup imetugharimu
Hilo lilitegemewa tokea awali, na hata Ancelotti aliwahi kusema kuwa itatuletea shida, ila aliahidi kutumia wachezaji watakaobaki, ila cha kushangaza aliamua kuwatumia Modrić na Tchouaméni, wakati ana Camavinga na Rodrygo ambao ni more fresher kuliko hao,
Hata vijana walipoingia mchezo ulibadilika, sema ndio hivyo Ancelotti huwa ni mgumu sana kubadilika.
 
Sikutazama game ila naamini tulicheza vibaya. Hatuwezi struggle na sevilla kwa kweli
Ilikuwa Valencia Mkuu, tunakuwa na shida sana tunapocheza na team inayolinda na kukaa na mpira., tuna shida ya ubunifu tunapokuwa eneo la adui., game kama za jana na Valencia, Villarreal na aina ya team hizi ili tuwapige vizuri tunahitaji kiungo wa aina ya Ozil, James ama Ordegaard, yaani anakuwa na kazi moja tu ya kuset mipango pale mbele., Sasa kwa style tunayocheza inakuwa ngumu kwasababu tunamtegemea jamaa waache nafasi kwenye wings ili tuweze kupitia huko, kitu ambacho hakitokei.,
Ancelotti ninadhani atalifanyia kazi hili suala.
 
Asanten madrid,, hamna baya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…