Ni kweli man, tunahitaji mabadiliko haswa upande wa beki ya kulia na winga wa kulia., kwa mipira aliyopewa Militao angekuwa Dani ana Lucas tungepata hata goli.,

Yule inabidi asirudi kabisa kipindi cha pili. Hata Mendy anazingua, anapokonya mpira halafu anauangalia tu hajui afanye nini. Pia Fullbacks wote hawasogei juu sijui kwa nini