Kipa kwasasa ninadhani ndio tatizo, kuanzia arejee kikosini baada ya yale majeraha bado hajafika kwenye kiwango chake, kuna goli huwezi kumlaumu, ila kuna goli unaona kabisa alikuwa na uwezo wa kuzuia., acha waende kwanza World Cup, labda wakirudi watapambana, kwasababu kwasasa kila mchezaji alikuwa anawaza kutokuumia ili aende World cup
Hello Madridistas, Kombe la Dunia linaendelea, na sisi tuna vijana humo wanatuwakilisha, Tchouaméni alianza kwenye game ya France, jana Asensio alianza piq na akafunga, Leo ni zamu ya Vinicius Jr., acha tuone na yeye ana lipi.,
Leo Valverde ameungana na wenzie Courtois, na Rüdiger kurudi home., ila nilitamani sana Kijana asonge mbele na team yale.,
Acha akapumzike kwanza tunamtegemea sana kuanzia January hapo.
Tumejikuta tunalipa pesa nyingi kutoka na team kadhaa kuweka mpunga mrefu pia, sema tu Dogo na Familia yake waliichagua Real Madrid., bado ni mdogo ila ni matumaini yangu kuwa atakuwa bora hapo baadae