Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,373
Ninadhani umeangalia game., bado safari ni ndefu iwapo tunataka kweli kutetea kombe hili kombe.,Mbona kama Real Madrid msimu huu anaenda tena kubeba champions league
Set up ya defence yetu haikuwa sahihi, ndio maana Rüdiger na Nacho walibadilishana majukumu kati kati ya mchezo., goli la tatu pia ni matokeo ya kutojipanga, ule up and e alikuwa anacheza Kroos, kucover hilo eneo endapo Nacho amepanda, ila baada ya kutoka Camavinga hakuenda kucover lile eneo, na Rüdiger hakufanya hivyo pia, so tukaacha nafsi kubwa sana kule upande wa kushoto,Leo tulikua wabovu juu ya ubovu, defence yote chali, line up haikuwa nzuri.
Rw hakuna alichofanya asensio mara 1000 ya Valverde. Vin anatupoteza sana
Anahitaji kupata muda mwingi zaidi kucheza ili angalau arudi kwenye nusu ya kiwango chake, hapo Madrid hawezi kupata hiyo nafasi, kama nilikuwa mshauri wake, ningemshauri atafute team ya daraja la chini, atapata huo muda wa kucheza bila presha ya kutakiwa kuonyesha kiwango chake cha zamani.Hazard anashida gani huyu jamaa?
Helo Madridista
Kesho 18:15 tupo na GironaMechi yetu lini wadau
Hawa wanatusumbuaga sanaKesho 18:15 tupo na Girona
Bado vijana wetu pale mbele kuna vitu wanakosa, haswa kwenye kufanya maamuzi., ila Golikipa wa Girona kafanye kazi nzuri sanaNaona Madrid hawako poa leo, shida nini?