Dogo amepagawa, ana ugomvi na Neymar, bahati mbaya akajikuta kwenye team ya neymar wapo wengi zaidi na wenye nguvu haswa Messi, Sergio Ramos aliyekuwa anamtegemea amkingie kifua na yeye amekuwa mpole., so hana sauti dressing room, na mbaya zaidi maofisa wa club na wenyewe wapo kimya, so anaona kama hatendewi haki.
Suala la kuja Los Blancos ninaona kama Perez hana time nae, ila acha tuone itakavyokuwa huko mbeleni.