Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,093
Msimu uliopita ni kweli jamaa walitupiga, acha tuone game zinazofuata itakuwa vp.No Madrid tunacheza jinsi tunavyokutana na team. Ukicheza na getafe sio sawa na ukicheza na Leipzig. Hatuko vibaya sana ukizingatia getafe huwa anatupa game tafu.
Sina kumbukumbu kama mara ya mwisho kwake pale tulimnywa 3. Hii ni laliga safari bado ndefu hope tuta deliver
Sio ukweli man, ameshaomba radhi, amedai kuwa account yake ilidukuliwa.,Daaah legend wetu[emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2381683
Shogaaa hilooooooSio ukweli man, ameshaomba radhi, amedai kuwa account yake ilidukuliwa.,
Real Madrid legend Iker Casillas has apologised for deleting a tweet in which he said “I’m gay” while confirming that his account was hacked.
Unaweza kwenda kusoma Zaid kwenye page ya goal.com
Tupo uwanjani Leo Halla Madrid
Pigo gani tena hizi?Kipa lenu la zamani kumbe linapakuliwa!?? Aibu sana hii.. jamaa linaamua kupigwa magoli uwanjani na kitandani. Pumbavu kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asikumize kichwa, tumewazoea, ndio maana hakuna aliyejibizana nae.,Pigo gani tena hizi?