Sijajua ni maelekezo ya Mwalimu ama ni dogo amejiongeza, Ninaona Rodrygo anacheza zaidi kati kati, kama anasaidiana na Benzem hivi, wakati Valverde anacheza winga ya kulia., acha tuone kama ndio majukumu mapya Rodrygo amepewa ama ni kwenye game hii tu.