Ligi ya safari hii ni ya ushindani sana, Barca na wao wapo vizuri sana, safari hii ni ile kila mtu ashinde game zake., hakuna muda wa Kusema nitamsubiri mtu apoteze point.
Ligi ya safari hii ni ya ushindani sana, Barca na wao wapo vizuri sana, safari hii ni ile kila mtu ashinde game zake., hakuna muda wa Kusema nitamsubiri mtu apoteze point.
Yeah, Usiku wa Ulaya umerudi tena, na sie kama kawa tutakipiga hapo baadae dhidi ya Celtic.
Sijawahi kuangalia game za Celtic hata kwa bahati mbaya, sana sana huwa ninakutana na matokeo yao tu,vp Wakuu tutarajie upinzani wa namna gani Leo!?