Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,372
Nilianglia game yote man.,Mkuu uliangalia mechi? Especially kipindi cha kwanza?
Ila mbona ni kama Leipzig tupo nao kundi moja. Good luck
Group lipo poa, sio mbaya sana, mwendo ni ule ule kujitahidi kuwa kinara kwenye group letu.,️ 𝗚𝗥𝗢𝗨𝗣 𝗙️
Real Madrid
Leipzig
Shakhtar
Celtic
Nadhani hukuelewa text yangu.. Ulidhani Madrid tupo na Bayern.Ila mbona ni kama Leipzig tupo nao kundi moja
Kumi na sita Bora hiyo peupeee️ 𝗚𝗥𝗢𝗨𝗣 𝗙️
Real Madrid
Leipzig
Shakhtar
Celtic
Kumi na sita Bora hiyo peupeee️ 𝗚𝗥𝗢𝗨𝗣 𝗙️
Real Madrid
Leipzig
Shakhtar
Celtic
Mwaka 2018Sijawahi kuona bingwa mwingine yoyote aliekutana na vigogo wengi kama Real Madrid hii ya 2021/2022.
-Psg tumekutana nae 16 bora tena ikiwa na Mbappe ambae ni matured pamoja na Messi.Mwaka 2018
16 bora: vs PSG, bingwa wa France
Robo: vs Juve, bingwa wa Italy
Nusu: vs Bayern, bingwa wa Germany
Final: vs Liverpool, mshindi wa pili EPL
Hii ndio maana halisi ya Ligi ya Mabingwa, huwa ninakuwaga na amani sana pindi tu tunapopangiwa kukipiga na hao wakali, ina maana unapata kipimo sahihi mapema, so ukifanikiwa kupita hapo hata morale ya wachezaji inakuwa juu sana.-Psg tumekutana nae 16 bora tena ikiwa na Mbappe ambae ni matured pamoja na Messi.
-Robo tumekutana na Chelsea bingwa wa UEFA kwa wakati huo. Juve haina record nzuri UEFA kufananisha na Chelsea Fc.
-Nusu tumekutana na Mancity bingwa wa England. kwa Bayern ile siwezi kuibeza walikuwa moto pia.
-Finali tumekutana na Liver
ambayo Salah ni mzima, hakuna kisingizio tena.
Bila kusahau kwenye makundi tulikuwa na Inter(bingwa wa Italy)
Ni kweli, pia vijana waliopata nafasi msimu uliopita hawakutuangusha, hiyo inatupa mwanga hata Modric na Benzema wakiondoka bado tutakuwa na watu wenye uzoefu na haya mashindano.Hii ndio maana halisi ya Ligi ya Mabingwa, huwa ninakuwaga na amani sana pindi tu tunapopangiwa kukipiga na hao wakali, ina maana unapata kipimo sahihi mapema, so ukifanikiwa kupita hapo hata morale ya wachezaji inakuwa juu sana.
Ninakumbuka baada ya kuwatoa PSG Modrić alisema kuwa hii ni mpaka final, kwamba kuvuka pale haikuwa rahisi, so hawakuoana tena team ya kuwasimamisha.