rabowilfredy
New Member
- Jul 6, 2022
- 4
- 5
Wanatoa pesa ndefu acha wamchukue japo inaumaNimesikitishwa sana na habari za Casemiro kuondoka Madrid.
Nilitamani kuona akibaki kwa muda mrefu zaidi na kubeba ndoo nyingi zaidi.
Camavinga/Fede ni wazuri lakini Casemiro is the best.
Utatu wa Casemiro+Kroos+Luka umefikia tamati.
#Nimesikitika.
View attachment 2328100
Yeah, nimeona hiyo taarifa na Mimi pia, anaitwa Bruno kitu kama hicho, ila Newcastle watakuwa tayari kumuuza!? Hata wakimuuza ni kwa pesa ndefu ninadhan., acha tuone.Kunaa tetes Madrid wanamtak kiungo mkabaji mithili ya casemiro na Zaid kidogo kutika newcaste..sjui kama deal litakamilika lkn..
Japokuwa umri ulikuwa unasogea ila ni mapema sana kumtoa aisee, ila ninadhani kumnunua Tchouaméni aliona kama tunamtoa taratibu, so kwa upande wake anaona kama ni jambo sahihi kuondoka sasa hivi., na pia kwa pesa atayoenda kulipwa pia ni ndefu, acha akapate mafao yakeKosa tulilolifanya tulipomuuza makelele linaweza tugharimu. Ni kweli replacement ya TANK CASEMIRO ipo ila haiwezi fua dafu kwa mbeba maji TANK CASEMIRO. World cup 2018 niliona brazil ikitepeta mbele ya belgium kwa kukosa huduma ya Casemiro. Hata game za madrid ambazo tunamkosa tunanyanyasika tukikitana na viungo wasumbufu.
Mkuu hapa umenena. Nashangaa watu wanalalamika bila kuangalia hizi details.Mimi siwezi kulaumu popote wala siwezi ilaumu klabu yangu kwa kumuuza. Alichofanya casemiro klabuni atabaki na kumbukumbu zetu ni moja ya legends wetu.
Umri umeenda casemiro mkataba wake ukiisha madrid hawezi ongezwa mkataba. Umri utakua umesogea na hatopata team nzuri ya kumlipa. Ni bora kwenda sehemu unapata contract ya 4 years unalipwa vizuri kabisa kumalizia maisha ya soka
Kwa upande wa madrid wao wako sawa huwezi kukata 60+ adds on ni karibu na tuliyotoa kwa french man tchouameni ambaye ni 80+ add on kidogo inakua haijaumiza mfuko.
Kama casemiro tulimwamini tuwaamini vijana. Vede, camavinga, tchouameni wote wanaweza cheza DM
wabrazil nao kwa kupenda noti hawajambo. Wapi oscar. Yupo wapi Hulk jamaa wanapenda sana noti wale. Hata ricardo kaka aliona aende madrid kutokea Ac milani licha ya kwamba nasikia kwao Ricardo Kaka pesa sio shida kiivo. Tuliteseka sana tulipomuuza Makelele nakumnunua Beckam. Tuliuza Punda tukanunua Farasi. Hadi tulipo mpata Xabi alonso ndo tukaiona nusu fainali UCL na hatimae tukapata taji baada ya ukame wa muda mrefu. Kuliona hilo tukamchukua kinda Casemiro toka porto na kupiga dili moja kali ambalo hadi leo Buyern Munchen wanajilaumu kutuuzia Toni Kroos. Kwa kweli Casemiro tungekaa nae walau msimu huu tena. Labda ameona mateso ya kaka yake Marcelo ameona hapa ngoja nitoke nisije kosa pakustaafia.Japokuwa umri ulikuwa unasogea ila ni mapema sana kumtoa aisee, ila ninadhani kumnunua Tchouaméni aliona kama tunamtoa taratibu, so kwa upande wake anaona kama ni jambo sahihi kuondoka sasa hivi., na pia kwa pesa atayoenda kulipwa pia ni ndefu, acha akapate mafao yake
Kwa upande wetu kwenye kiungo mkabaji itakuwa shida kweli kweli kuziba nafasi yake, sijui Ancelotti amejipanga vp ila kazi tunayo kiukweli.,
Kosa tulilolifanya tulipomuuza makelele linaweza tugharimu. Ni kweli replacement ya TANK CASEMIRO ipo ila haiwezi fua dafu kwa mbeba maji TANK CASEMIRO. World cup 2018 niliona brazil ikitepeta mbele ya belgium kwa kukosa huduma ya Casemiro. Hata game za madrid ambazo tunamkosa tunanyanyasika tukikitana na viungo wasumbufu.
Umewahi kuiona madrid yenye claude makelele au ulisimuliwa. Tuliofanikiwa kuiona ngoja tukae kimya utuambie wewe.hiyo ishu ya Makelele ni overrated sana, Kweli tu ni kuwa real Madrid ilishaanza kupoteza ubora hata kipindi Makelele bado yupo pale real Madrid.
Tizama wenzetu barca walivyo mngangania Busquet kwaku wanajua bila Busquet hakuna Dm pale Barca na bado hawajapata cariba ya Busquet licha ya umri na nguvu kumuishia. Viungo namba 6 wabeba maji huwa ni wachache sana wanaoweza cheza muda mrefu kama Casemiro. Hapa naona tumepoteza mtu
Hata Casemiro na yeye alipewa nafasi akiwa kijana mdogo, na hii ni baada ya Alonso kuondoka, tulikuwa na wasi wasi kama hivi pia, ninatumaini atayepewa hiyo nafasi atajituma.,Wachezaji vijana watapata wapi kujiamini au udhoefu pasipo kucheza mkuu?
Casemiro kuondoka kwa mimi naona ni sawa,kwa sababu ameshinda kila kitu kwa ngazi ya club akiwa madrid hapa,ni wakat muafaka wa yeye kutafuta hela sasa zakustafu...huyu Mariano sijui kwa nini huwa tunamuweka kikosini,awekwe sokoni.Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba, Ancelotti na kijana wameongea kwa kina, huku Ancelotti akimjulisha kijana namna anavyohitajika ndani ya kikosi, ila jamaa kwa mpunga aliowekewa mezani haoni namna anaweza kubaki. So msimu huu tunaingia bila huduma ya Casemiro.,
Wakati huo huo akina Mariano na mwenzie Ordiozola bado wapo wapo sana.,
Ukiangalia Casemiro ameshafika kwenye peak na kwa club yetu hakuna ambacho hajashinda,so kind hata ile morali inakuwa imeshuka...lakini pia kwa misimu miwili hii ukiangalia vizuri utaona hata kiwango chake kimeshuka kias flan...ni wakat muafaka kwa yeye kuondoka lakini pia ili club iweze kuwatumia hawa vijana waliosajiliwa vizuri,tuna kundi kubwa sana la vijana ambao wanaweza cheza namba yake.Casemiro
“I've discussed it with him this morning. He wants to try a new challenge, a new opportunity. The club understand it, with all he's done for this club and the person he is, we have to respect it. There are talks right now, he's still a Real Madrid player at this stage, but he wants to leave. If he goes, we have the resources to replace him".
“I haven't tried to convince him, I just listened, because I have spoken to Casemiro throughout my time here and he has helped us so much. Having heard what he wants, there's no way back. If he doesn't stay, we'll have an enormous sense of gratitude to him for all he's done. We have replacements within the squad. Tchouameni was signed for this position and he's one of the best central midfielders on the market right now, then we've got Kroos, who can play in that position too, just like he did in my second year here, and there's Camavinga as well”.
Kutoka kwenye website ya club.,