Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Team imeendelea kuimarika, ninadhani game inayofuata dhidi ya Juventus itakuwa nzuri zaidi,
Tchouaméni ninaona Leo uoga umemtoka, labda kucheza viungo Wanne leo itakuwa imemsaidia kwasababu akipanda Camavinga alikuwa anashuka..
Leo tulikuwa na ingizo jipya kutoka Castilla, beki wa kulia anaitwa Vinicius Tobias, tunatarajia kuwa yeye ndio atakuwa mrithi wa Carvajal huko mbeleni, ni game yake ya kwanza, bahati mbaya amesingiziwa penalty, sidhani kama hilo litamshusha morale yake ya kucheza,. Ninatumaini atapewa nafasi tena kwenye game inayofuata.
 
Huyu ndo yule wamemchukua kwa mkopo toka shakhtar?
 
Acha nyinyi muendelee ku balance wenzenu wanajiimarisha, Lewandowski sio mchezo wa kitoto ndugu. Kama ni suala la ku balance Barca wangelirizika na Auba, Ila hawakutaka kubahatisha,

Na kuendelea kumtumainia Hazard kwa lolote ni uwendawazimu.
Sahii kabisa
 
🚨Tonight, Karim Benzema will receive the award for the best UCL player and Vini Jr. will receive the best young player of the season for the last Champions League.
These Champions League POTS (Play of the season) & YPOTS (Young player of the season) awards will be handed to Benzema & Vinícius Jr on the pitch before kick-off.
[Arancha Rodriguez]

📸 @mfgfx_
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…