Real Madrid (β€ŽLos Blancos) | Special Thread

HT:Liver wameonyesha waicho nacho kwa maana ya ubora wao na pia dakika tatu had tano za mwisho kipindi hiki cha kwanza wameonyesha udhaifu wao,sisi tunazuia sana na tafsiri yake tunaruhusu kushambuliwa sana..liver hawana uwezo wakuzuia pressing za haraka haraka,wanajichanganya sana hapo nyuma na hata kipa wao hana utulivu...tukimpumzisha either casemiro au Kroos aingie Camavinga kwa ajili yakusukuma timu mbele itasaidia sana,hapa tunahitaji mtu wakusambaza upendo kwa haraka mbele..habar za back pass nazo zife.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…