Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Pesa walio itoa man city kumpata Halaand ndo pesa tulioitoa kumpata Jovic. Asee dunia haina huruma yaana
Huwa siamini strikers wanaofanya vzuri Bundesliga, inawezekana pia City kupigwa hasara kama sisi. Kibaya zaidi nimeshtushwa na habari za Madrid kumtaka Nkuku, hapa naona tunaenda kupigwa tena.
 
Huwa siamini strikers wanaofanya vzuri Bundesliga, inawezekana pia City kupigwa hasara kama sisi. Kibaya zaidi nimeshtushwa na habari za Madrid kumtaka Nkuku, hapa naona tunaenda kupigwa tena.

hawa akina Nkuku ni wachezaji wa mchongo, Ni Jamii ya akina Mariano
 
Hello Madridistas, ni siku nyingine tena, kama kawaida vijana wetu wapo uwanjani Leo kukipiga dhidi ya Levante
 
Bado Mwalimu anaendelea kufanya rotation kuelekea final dhidi ya Liverpool hiyo May 28.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…