Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,373
Hiyo sio siasa, ni philosophy ya club, Real Madrid haisajili tu ilimradi imesajili, kuna vitu vingi vinaangaliwa, suala la pili ni kuwa hatuna uhitaji wa haraka kwenye nafasi hiyo. So relax kijana.Maendeleo hayataki siasa, Kuacha kumsajili Dybala kwasababu eti sio mshabiki wa Real Ni upuuzi tu.
Ili tusajili winger inahitajika mmoja kati ya Asensio ama Hazard aondoke, Sasa ingekuwa wewe ni Mkurugenzi wa ufundi ungemweka sokoni nani!?Hatma ya hazard haitaki kutegemewa, NI wakuondoka tu
Hiyo sio siasa, ni philosophy ya club, Real Madrid haisajili tu ilimradi imesajili, kuna vitu vingi vinaangaliwa, suala la pili ni kuwa hatuna uhitaji wa haraka kwenye nafasi hiyo. So relax kijana.
Ili tusajili winger inahitajika mmoja kati ya Asensio ama Hazard aondoke, Sasa ingekuwa wewe ni Mkurugenzi wa ufundi ungemweka sokoni nani!?
Kwa upande wa Rodrygo bado anahitaji muda, bado ni mdogo na pia hiyo nafasi anayocheza ni ngeni kwake, wakati yupo Santos, alikuwa anacheza winga ya kushoto, dhidi ya Espanyol alicheza upande huo, Leo pia atacheza upande huo, fuatilia utaona impact yake., yeye na Asensio ndio wanaweza kucheza nafasi zote pale mbele bila shida, Sasa huwezi kuona potential kwa kijana mdogo kama huyo!?
Asensio tokea arudi kutoka majeruhi hakuwahi kufikia ubora wake, club bado ina imani nae kuwa ataimarika tena.
Mwanzo wa msimu ilikuwa ni Mwalimu tu alikuwa anajaribu kuona kama angeweza kuwatumia mmoja wapo kati ya Bale (hii ndio position yake) ama Hazard, hii ya Hazard ni baada ya kuona Vinicius yupo vizuri kwenye winga ya kushoto., kwa kuwa lengo lilikuwa kujaribu kumrudisha Hazard basi ikabidi amjaribu kucheza winga ya kulia, akafeli, akamrudisha kucheza kama kiungo bado akafeli ndio akaachana na huo mpango akamgeukia Marco Asensio, akacheza vizuri akampa nafasi mpka pale Rodrygo alipokuja kuibuka tena kuchukua nafasi yake, kumbuka Rodrygo amecheza nafasi hiyo chini ya Zidane, kwahiyo sio kwamba tuna uhaba kwenye hiyo nafasi ila ni Mwalimu alikuwa anajaribu silaha zake.Position moja ambayo amechezwa na wachezaji wa 5 kwenye msimu mmoja na bado imeshindikanwa kupatikana mtu wa uhakika bado unasema kuwa haina uhitaji wa haraka? (Alianza Bale, akafuata Hazard, Asensio, Rodrygo, Valverde)
Safi, mimi piaMimi nikiwa na nafasi hata game za team ya Wanawake, Castilla pamoja na Basketball huwa ninazifuatilia, ni vema kuona maendeleo na muendelezo wa Club yako pendwa mwenyewe kama nafasi ipo.
Umeona e, na BALE piaHatma ya hazard haitaki kutegemewa, NI wakuondoka tu
Unavyomzungumzia Rodrigo utadhani ana miaka 30.Right side forward ni suala muhimu, wakilipuuzia litawaghrimu. Asensio ni wakuondoshwa tu, na Rodrygo ameshindwa ku prove himself kama starter amekua akicheza vizuri sana akiingia sub ila as stater amesuasua sana. aenedelee kuwa Sub tu.
Jovic anaharibiwa na asensio,Jović bench limemharibu, ila Sina uhakika kwasababu hii ni mara ya pili anakosa goli la namna hii, inakuwaje anashindwa kucheap mpira hata kidogo tu.
Mariano ndo galasa la kutupwa kabisaKuna mabadiliko kidogo kwenye kikosi kilichoanza, awali ilikuwa Mariano aanze ila kwasasa nafasi yake imechukuliwa na Luka Jović
Kutocheza pamoja kwa muda mrefu inachangia pia, uweza kuona hata upande wa beki na upande wa wa kushoto kwa Nacho, mawasiliano hakuna.
Hahaha, huwezi kuamini alikuwa aanze kwenye hii game, sijui ni nini kimemsibu., na jinsi tunavyocheza sijui angecheza nini., kwasababu yule ni nguvu nyingi akili kisoda.