Tumaini RUDIGER atavaa jezi nyeupe msimu ujao, hamna namnaSio kawaida yetu kununua wachezaji wenye umri mkubwa, hizi nafasi kama iliyotokea kwa Alaba na sasa Rudiger hatuwezi kuziacha kiukweli, ila kumbuka Militao ana miaka 23, na tegemeo la club ilikuwa ni kwa Vallejo kuwa performance yake ingeimarika, sema ninaona kama club hawana Imani naye, japokuwa kwa upande wangu game mbili alizopewa nafasi alicheza vizuri.
Kwasasa sioni club ikitafuta kijana, mpka hapo baadae,
Sehemu ambayo club imefanya recruitment ni upande wa beki ya kulia, juzi hapa tulimchukua dogo mmoja wa Brazil anaitwa Vinicius Tobias kwa mkopo kutokea Shakhtar Donetsk, so tutaangalia mpka mwezi wa Sita
Pale utamlaumu tu bure, watu wawili walikua free asingeweza ku cover wote.. Vin alitakiwa kuwa pale kumsaidia. Angalia yale mazingira vizura.
Una maoni gani kuhusu safu yetu ya ushambuliaji msimu ujao
Je, tuna haja ya kufanya usajili wa nguvu: MBAPPE/HAARLAND au waliopo watakidhi haja?
Pau Torres ndie mtu sahihi wakumsajili, Kwanza ni mdogo ukilinganisha na Rudiger na ni MSpanish.Tofauti na RUDIGER, CB gani mwingine anayeweza kutufaa?
Huyo jamaa inawezekana akawa ndio conection kuu ya Mganga wao, Mana nashindwa kuelewa kabisa wanaendeleaje kumlipa mshahara kila wiki.Mariano Diaz huyu hua sielewi kazi yake ni nini
huwezi msemea mchezaji kwa kiangalia save moja tu ,Mendy amepewa muda wa kutosha kuweza kuprove uwezo wake lakini bado waonekana kuwa mdogo , dirisha la usajili madrid ina kazi ya kutafuta namba tatu nyingine Mendy HAMNA KITUU.
SawaReal Madrid wnahitaji Foward wa upande wa kulia, Ambapo Dybala atakua ndio best Option, Na vizuri zaidi ni Kuwa yupo anapatikana kwa free Transfer.
Kuhusu Mbappe na Halland ni ku complicate mazingira mana nafasi zao tayari kuna starters wa uhakika, nafasi inayohitaji kujazwa ni ya upande wa kulia. Lakini mpaka sasa sijawaona kama wameshuhulika na Dybala.
Napi DI maria yupo free agent, wangelimpata angelisaidia sana kama Backup, mana Bale & Hazard waondoshe tu hawana mchango.
Pia simuamini sana RDG japo naheshimu kiwango chake msimu huuPau Torres ndie mtu sahihi wakumsajili, Kwanza ni mdogo ukilinganisha na Rudiger na ni MSpanish.
Rudiger simuamini kabisa, Hapo Chelsea ameanza kucheza vizuri kipindi cha karibuni tu, usishangae ukakuta ni mfumo tu unaombeba.
Ni vizuri ukaendelea kufuatilia ili uweze kujenga Imani na kujenga morale ya ushindi dhidi ya Liverpool hapo May 28.Hizi mechi zetu za Laliga zilizobaki kuna haja ya kuzifatilia kweli?
Si tumeshakabidhiwa ndoo yetu. Mimi sizifatilii tena. Nasubiri UEFA.
Pau Torres na Jules Kounde' wote scouts wetu walikuwa wanawafuatilia ila ninaona sijui ni gharama ama ni nini, ila ninaona wote tumewapotezea, unajua kabla hatujasajili mchezaji kuna vitu kadhaa huwa club inaangalia, jambo la kwanza kabisa anachopenda Don Pérez ni mchezaji awe shabiki wa Real Madrid., kisha uwezo halafu ishu ya matangazo na mambo mengine kama hayo, so hatujui walibaini nini mpka huo mpango ukafa.,Pau Torres ndie mtu sahihi wakumsajili, Kwanza ni mdogo ukilinganisha na Rudiger na ni MSpanish.
Rudiger simuamini kabisa, Hapo Chelsea ameanza kucheza vizuri kipindi cha karibuni tu, usishangae ukakuta ni mfumo tu unaombeba.
Ni vigumu sana kumsajili Dybala Mkuu, kwanza sio mashabiki wa Real Madrid, pili huo upande kama tukimkosa Mbappé basi atabaki Rodrygo na Asensio, ila tunahitaji Winger mmoja either wa kulia ama wa kushoto hapa inategemea na hatma ya Eden Hazard, kisha Striker mbadala wa Karim, jamaa umri unaenda ila plan ya club ni kumtumia jamaa mpka mkataba utapoisha hapo mwakani June 2023., ndio maana hata ishu ya usajili wa Haaland umekuwa mgumu kwa kuwa club kuanzia msimu wa 2023/2024, wakati yeye anataka kuanza msimu ujao wa 2022/2023.Real Madrid wnahitaji Foward wa upande wa kulia, Ambapo Dybala atakua ndio best Option, Na vizuri zaidi ni Kuwa yupo anapatikana kwa free Transfer.
Kuhusu Mbappe na Halland ni ku complicate mazingira mana nafasi zao tayari kuna starters wa uhakika, nafasi inayohitaji kujazwa ni ya upande wa kulia. Lakini mpaka sasa sijawaona kama wameshuhulika na Dybala.
Napi DI maria yupo free agent, wangelimpata angelisaidia sana kama Backup, mana Bale & Hazard waondoshe tu hawana mchango.
Hizi mechi zetu za Laliga zilizobaki kuna haja ya kuzifatilia kweli?
Si tumeshakabidhiwa ndoo yetu. Mimi sizifatilii tena. Nasubiri UEFA.
Mimi nikiwa na nafasi hata game za team ya Wanawake, Castilla pamoja na Basketball huwa ninazifuatilia, ni vema kuona maendeleo na muendelezo wa Club yako pendwa mwenyewe kama nafasi ipo.Ni za kutazama ili tuone wachezaji wetu B wanakomaa katika majukumu.
Ni vigumu sana kumsajili Dybala Mkuu, kwanza sio mashabiki wa Real Madrid, pili huo upande kama tukimkosa Mbappé basi atabaki Rodrygo na Asensio, ila tunahitaji Winger mmoja either wa kulia ama wa kushoto hapa inategemea na hatma ya Eden Hazard, kisha Striker mbadala wa Karim, jamaa umri unaenda ila plan ya club ni kumtumia jamaa mpka mkataba utapoisha hapo mwakani June 2023., ndio maana hata ishu ya usajili wa Haaland umekuwa mgumu kwa kuwa club kuanzia msimu wa 2023/2024, wakati yeye anataka kuanza msimu ujao wa 2022/2023.
Pau Torres na Jules Kounde' wote scouts wetu walikuwa wanawafuatilia ila ninaona sijui ni gharama ama ni nini, ila ninaona wote tumewapotezea, unajua kabla hatujasajili mchezaji kuna vitu kadhaa huwa club inaangalia, jambo la kwanza kabisa anachopenda Don Pérez ni mchezaji awe shabiki wa Real Madrid., kisha uwezo halafu ishu ya matangazo na mambo mengine kama hayo, so hatujui walibaini nini mpka huo mpango ukafa.,
Acha tuone kama msimu ujao tutafanya recruitment yoyote kwenye upande wa beki wa kati baada ya kumpata Rudiger.
Ni vigumu sana kumsajili Dybala Mkuu, kwanza sio mashabiki wa Real Madrid, pili huo upande kama tukimkosa Mbappé basi atabaki Rodrygo na Asensio, ila tunahitaji Winger mmoja either wa kulia ama wa kushoto hapa inategemea na hatma ya Eden Hazard, kisha Striker mbadala wa Karim, jamaa umri unaenda ila plan ya club ni kumtumia jamaa mpka mkataba utapoisha hapo mwakani June 2023., ndio maana hata ishu ya usajili wa Haaland umekuwa mgumu kwa kuwa club kuanzia msimu wa 2023/2024, wakati yeye anataka kuanza msimu ujao wa 2022/2023.
Wakati huo huo tunahitaji mbadala wa Casemiro, na kijana aliye sokoni kwasasa ni yule dogo wa Monaco Aurelien Tchouameni, ila huyo ninadhan dau lake litakuwa kubwa, kwasababu Club kibao zinamfuatulia na yeye ameshaaga ndani ya club kuwa anataka kuondoka, Sasa sijui kama tutashtukizwa na club kama ilivyokuwa kwa Camavinga ama ndio itabidi tumlinde Casemiro na tumpandishe Antonio Blanco ama tutacheza na double pivot, kama tulivyo fanya dakika za mwisho na 30 za nyongeza dhidi ya Manchester City kwa kumchezesha Camavinga na Valverde ama itakuwaje, majibu ni kuanzia Mwezi wa Sita.