OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,310
Draw ya wapi wewe ..acha kuogopa mapema sisi tunawabamiza BAO nne kavu.Kila la kheri chama langu. Leo tupambane kama sisi ndio tuko nyuma kwa goli 3. Naamini hatuwezi poteza tukienda sana ni draw
Sijui baadae utesema ajeFUTA hii utopolo ..sisi ni mabingwa watetezi na ushindi bado upon mikononi mwetu mkuu.
Draw ya wapi wewe ..acha kuogopa mapema sisi tunawabamiza BAO nne kavu.
Huu ni uchawi Sasa ..subiri tuje apo bernabeu tuwakalishe.Hilo linafahamika, kwenye scale ya 1 - 10 ya kushinda mechi ya leo nawapa 3, kwenye scale ya 1 - 10 ya kufuzu hatua inayofuata nawapa 2, karibu Bernabeu saa 2200
Sawa [emoji23]Huu ni uchawi Sasa ..subiri tuje apo bernabeu tuwakalishe.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Usijali, kipindi cha pili chelsea anaongeza 2 tuu hvy usiumie sana hatufungi mengi sana zaidi ya matatu.HT: Hadi sasa tumecheza hovyo,kwa sababu tumeingia na kiburi cha goli 2 mbele,hatujapiga shoti lililolenga goli hata moja,counter attack hatupigi tumepooza sana..kama tulisobadilika kipindi cha pili tutapigwa mbili hapa na habari iwe imeisha hapa..huyu Nacho mzee wakukaba kwa macho bila kumuwekea backup plan ataendelea kutuchomesha.
Wewe domokaya njoo ubwabwaje sasaHuu ni uchawi Sasa ..subiri tuje apo bernabeu tuwakalishe.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Bayern kauchana[emoji4]