Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Yaani RMA ni ya kupaki bus kwa Chelsea? kua serious basi
Hii game tunapindua meza mapema sana kipindi Cha kwanza tunaongoza BAO mbili za fasta Ili kuwatoa mchezoni, huyu benzema tushaunda kamati ya roho mbaya kuhakikisha hafurukuti. Kipindi Cha pili tunazama na mbinu za kushambulia kwa kuvizzia Ili kuwa muda murukeruke ..halafu msumari wa tatu tunawatandika tunamaliza game ..mpira ni 3 bila subiri utaona TU..
#CFC💙💙💙
 
Hiii, huo mkakati kabambe S/BRIDGE ulishindikanaje?
 
Mnatupiga tatu sisi tumetulia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…