SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,656
- 10,418
my wenu naona kawakula😂😂😂😂Game na my wetu barca saa ngapi aseeee
Haitozuia. Nyie kufungwa na AubaMbape ka sign miaka mitano blancos
Kufungwa na Auba na kunyanyua kwapa bora kipiHaitozuia. Nyie kufungwa na Auba
Tiki taka inamuhusu Mbappe lazima asikie kizunguzunguHaitozuia. Nyie kufungwa na Auba
Uzeni timu kwanzaNyie tunawasubiri kwa hamu tuwakamue BAO tatu kavu.
Angepewa nani?Hii timu Ancellotti alipewa kimakosa, tunaenda kimungumungu sana.
Nagelsmann au Ten Hag.Angepewa nani?
Hawawezi kukupa nafasi,wakizuazua wanapewa penalt,mchezo umekwishaWatani, siku hizi mko tia maji tia maji sana. Hata mechi za kushinda bado mnashinda kwa taaaaabu. Mimi nakuja taratibu, sina mpango wa kushinda ligi. Ila ole wenu mnipe nafasi. Ole wenu!
Duuh,hayaa.Nagelsmann au Ten Hag.
RMA sio academy ni club ya matajiNagelsmann au Ten Hag.
CHELSEA kwenye UEFA wamewahi kukutana na REAL MADRID mara moja tu - msimu uliopita, mguu wa kwanza matokeo yalikuwa droo ya 1 - 1, mguu wa pili mlishinda 2 - 0, kwa ujumla REAL wana rekodi nzuri dhidi ya CHELSEA, wana WIN 2 'CHAMPIONS CUP' na 'UEFA' wana DRAW 1, wakati CHELSEA wana WIN 1 tu na DRAW 1uyo zidane tulimla kochwa msimu ulopita. Kwenye H2H hujashinda game hata moja huoni kaama wewe ni underdog?
Sawa VARHawawezi kukupa nafasi,wakizuazua wanapewa penalt,mchezo umekwisha