Hello Madridistas., Habarini za jioni.,
Ni usiku mwingine tena wa kuwaangalia vijana wetu wakicheza dhidi ya Real Mallorca, baada ya lile shangwe la Jumatano Leo tunakipiga kwenye Ligi, na kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi ratiba ya leo imedondokea Jumatatu., sio shida sana, suala la msingi ni kupata point tatu muhimu.