Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,373
Game ilibadilika ghafla walipoingia hawa madogo, pressing ya kutosha, pass za uhakika kutoka nyuma, kuanzia pale niliona dalili za wazi kabisa za kusawazisha.,Eduardo Camavinga and Rodryigo are game changers.
Ila Camavinga ni
Mimi nme amua leo iwe holiday sitaki kero na mtu Benzema amenipa heshima hapa mjinjNaomba niseme nashukuru sana kuipenda na kuishabikia hii timu. Nimepata raha ya msimu mzima ata nisipo chukua kombe.
Hala madrid
Lete Maneno tena mbwiga weweMshatolewa tayari CL ....subilini 2023
Vini jana kawakimbiza Hakimi na Kimpembe , Modirc amecheza kama ana miaka 24, Fede katuliza dimba Benzema siwezi hata kuelezea nme amkia barGame ilibadilika ghafla walipoingia hawa madogo, pressing ya kutosha, pass za uhakika kutoka nyuma, kuanzia pale niliona dalili za wazi kabisa za kusawazisha.,
Ila Camavinga kiukweli dogo anajua sana, ana uwezo mzuri wa kukaa na mpira halafu pia ana uwezo wa kupiga pass zenye macho., team inakuwa vizuri sehemu ya kiungo inapotulia, ni kazi kwa Ancelotti kumchezesha mara kwa mara ili apate uzoefu.
Aaaaah hawaijui Madrid ndugu, labda iwe Bayern Munich sio Vitoto ambavyo havijawahi hata kuchukua ndoo ya uefa!Lete Maneno tena mbwiga wewe
Mmeanza kutapa tapa Tena?Kama mnajiami ombeni draw na timu yeyote ya epl...muone mtakavo sasambuliwa ......
Sijui kwanini shabiki wa hii ligi hua mna wenge sanaKama mnajiami ombeni draw na timu yeyote ya epl...muone mtakavo sasambuliwa ......
Team gani ya EPL ambayo hatuja wahi cheza nayo?Kama mnajiami ombeni draw na timu yeyote ya epl...muone mtakavo sasambuliwa ......
Kama mnajiami ombeni draw na timu yeyote ya epl...muone mtakavo sasambuliwa ......
Mkuu hongera sana, Mwenyewe ninatamani kama Leo ingekuwa holiday hivi, ila hakuna nitaifidia hii siku Weekend.Mimi nme amua leo iwe holiday sitaki kero na mtu Benzema amenipa heshima hapa mjinj
Mimi sikukata tamaa kiukweli, sema lile goli lao la uongozi nusura nianguke kwa mshtuko., ila nikajipa moyo nikasema tutavuka tu, zikiwa zimebaki kama dakika tano mpira kuisha umeme ukakatika, duu hapo nilidata, nikazama kwenye simu nikaamua kustream game inakata na umeme ukarudi., basi niakaamua kumaliza tu shangwe na ndugu zetu waliokuwa uwanjani.Nilienda kibanda umiza, baada ya goli la Mbappe, nikasepa kwa hasira.
Nimeamka kucheki final results muda huu. Aisee, kwanza ngoja nipige Punyeto kwa furaha!
Walikua wamekaa benchi moja (pamoja)?Pérez ninadhani alikuwa na usiku mzuri sana, ukizingatia Rais wa PSG na yeye anataka kujiona kama na yeye ni legendary, basi Mzee mzima jana alimzima mazima pamoja na mwenzie wa UEFA
Mimi nme amua leo iwe holiday sitaki kero na mtu Benzema amenipa heshima hapa mjinj
Jamaa walikaa wote Presidential box, kwa kuwa kuna ka uhasama Sina uhakika kama waliongea chochote ila kabla ya game walipata chakula pamoja, kama ilivyo desturi ya mashindano haya.,Walikua wamekaa benchi moja (pamoja)?
Alimfanyia madhambi kivipi?Jamaa walikaa wote Presidential box, kwa kuwa kuna ka uhasama Sina uhakika kama waliongea chochote ila kabla ya game walipata chakula pamoja, kama ilivyo desturi ya mashindano haya.,
Taarifa zilizopo ni KUWA Rais wa PSG baada ya game kuisha alienda kwenda chumba cha marefa akiwa na moto mbaya, analaumu kuwa lile goli la kwanza halikupaswa kuhesabiwa kwasababu anadai kuwa Benzema alifanyia madhambi golikipa wao.