ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,295
- 31,694
Mariano aondoke tu, ila alie fanya mistake ya kumuachia Achraf Hakimi alitukosea sanaUsimsahau na Mariano Mkuu, jamaa kila mara yupo offside, plus hana foot work nzuri, yaani anachoweza ni kuwania mipira ya juu tu.
Jamaa ameisha kiac kwamba hata kumpiga chenga mtu mmoja tu hawezi tena wakati ndio kazi aliyoletwa kufanya, leo vinicius Jr tumemmis, ukimtoa Modric hakukuwa na mchezaji mwingine yoyote anaejaribu kupunguza watu ili kufungua defense nafasi zipatikane.Usipate nae shida San a man, anajua msimu huu ni mwisho kuvaa huo uzi, bado ana zile za kupenda kukaa na mpira halafu hana madhara kwa team pinzani,
Ni kweli kabisa man, ninaona club inawinda sign ya Rudgier, labda hapo atacheza na Militao na Alaba akipige upande wa kushoto.Kwa sasa hatuna mafullbacks bora, sio kulia wala kushoto. Wanahitajika watu wapya.
Kabisa...huyu Mariano sijawah kumkubali hata sekundeUsimsahau na Mariano Mkuu, jamaa kila mara yupo offside, plus hana foot work nzuri, yaani anachoweza ni kuwania mipira ya juu tu.
Kiukweli kabisa, sema ile aliuzwa ili kuweka mahesabu Sawa, tulichokosea ni kutoweka kipengele cha kuhitaji huduma yake tena endapo atauzwa ama kama tunge hitaji huduma yake tena.Mariano aondoke tu, ila alie fanya mistake ya kumuachia Achraf Hakimi alitukosea sana