Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,373
Bado ni mbali sana mpka kufika hiyo Februar, ni vigumu sana kujua itakuwa vp, ila ninaamini tutakuwa na game nzuri, na tutasonga mbele.,Daah tumepewa psg sijui safari yetu kama itakua na usalama. Ila naamini timu yangu itaenda kuonesha kile kicho bora.
Ni kweli kabisa, hakuna haja ya kuogopa kama una nia ya kuchukua kombe, ili uwe bingwa, maana yake uwashinde mabingwa wenzioUkicheza na wakubwa wenzio halafu ukiwa unapiga inakujengea hali ya kujiamini kila unaposogea mbele.
Ni kweli kabisa, kinachotakiwa ni kucheza kama team, ninaamini tukiwa kwenye makali yetu jamaa wanachapika kabisaPSG ni kama mwili wa baunsa,juu mkubwa chini mdogo...wanafungika sana...sion game ngumu pale,tungepangwa na Bayern hapo sawa.
Mwisho wa siku Balon Dior anapewa MessiKumbe game ya jana tumeshinda!
Nilikua sijui. Benzema anashine wakati jua linazama
Game mbili zilinipita hivi hivi bila hata kuangalia, Leo ndio nimepata muda wa kuangalia highlights.,,Kumbe game ya jana tumeshinda!
Nilikua sijui. Benzema anashine wakati jua linazama 😀😀